masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,899
- 15,126
Nimecheka sana leo baada ya kuiona picha hii!
Mwananchi leo 9/8/2016
Mwakyembe na Dr Tulia wako wako tu, utafikiri mtu kakaa na mkwe!
huyo mwanamke anaroho ya fisi.
Ha ha ha!Wangeambiana tu, umependeza dada yangu!
Kuliko kununa hivo wameharibu picha!
Ndio nina uhakika, huyu ni binadamu yule ni mnyama![]()
Una uhkika huyo hyna hafanani nahuyu?
Fikiria zaidi, kwa picha na vitendo hawana tofauti.Ndio nina uhakika, huyu ni binadamu yule ni mnyama