Mwakyembe, Sitta 'walisafisha' nini Bandarini?

nimegundua kwamba Sitta na mwakyembe wana gundu kali sana ! sijui kwanini .
 
Tulikuwa tunampa hongera na sifa nyingi humu Mwakyembe tukisema 'aliisafisha bandari' na ni 'mchapakazi' na wengine wakiomba ateuliwe kuwa Waziri mkuu ili alete Hiyo kasi na uchapakazi lakini tunakumbuka Sitta alipom replace na yeye Sitta akala 'ujiko' wa kuisafisha bandari na kuondoa madudu.

Kumbe in reality hakuna walichokifanya au walichokifanya hakikuwa na manufaa sasa tena sasa tunashingilia Magufuli na Majaliwa 'kuisafisha 'bandari na kuondoa madudu.

Maswali ya kujiuliza Sitta na Mwakyembe 'tuliwasifia' kwa nini hasa? Na kinachofanyika sasa tuna uhakika ndo soluhisho la kudumu? Kama sifa tulizowapa Mwakyembe na Sitta huko nyuma zilikuwa za makosa na hizi sifa tunazo mwaga sasa je? Hivi haiwezekani nchi hii mambo yakaenda bila kiongozi 'kutikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' na 'akamwagiwa' sifa tele?

Nchi zote zenye efficiency viongozi wao huwa 'wanatikisa' na 'kutingisha' na 'kusafisha' Kama hapa kwetu?
The Boss Sitta na Mwakyembe walikuwa wanafanya kiini macho tu ili waonekana wanafanyakazi while in reality walikuwa hawajalenga ufanisi.

niliwahi kusema kuwa mwakyembe alifukuza wafanyakazi wa bandari ili aingize watu wa kula naye tu. na haikunishangaza Sitta kuja na ya kwake tena kwenye mamlaka moja.

there was nothing at all.
 
Magufuli atawateua uwaziri utasikia
 
Magufuli atawateua uwaziri utasikia
na hilo ndiyo linashangaza zaidi katika nchi hii watu walewale makosa yale yale na bado wanapewa nafasi. kama hao wazee wawili.
mwakyembe wizara ya uchugkuzi kafanya makosa mengi tu hadi ya kununua mabehewa chakavu.
mzee sitta wizara ya afrika mashariki alikwenda kuharibu tu mpaka wenzetu wakatutenga yeye yupo yupo tu.
na wanaweza kupewa uwaziri tena.
 
Kama tunavyoona hali ya utumbuaji majipu ikiendelea,
N leo tena ya tarehe 07.12.2015 Mkurugenzi wa TPA na m/kiti wa bodi wakisimamishwa kazi
Pia tumeshuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akitenguliwa uteuzi wake
Hususani hili la KM uchukuzi Dr. Mwinjaka kwenye sakata la TRL

Najiuliza tu: je kama katibu Mkuu wa Wizara kashughulikiwa
je itakuwaje kuhusu waziri husika Mwakyembe? atachukuliwa hatua? kama atachukuliwa hatua na hakuna ulazima wa kuwepo kwenye baraza la mawaziri pia.

Tujadili bila matusi.
 
Hizo Ni weakness za waziri mwenye dhamana, kashindwa kuisimamia wizara ipasavyo. Hata hivyo system iliopita ilikuwa na chachu ya kupiga dilli.
 
Mzungumzie na Mhe 6 nae wote walipita hapo mbona unazungumzia mmoja tu tujuze unalenga nini?
 
Leo bodi ya TPA na kaimu mkurugenzi pamoja na katibu mkuu uchukuzi wote wametimuliwa
kuna watu kwenye hii thread mlisema tatizo liko TRA tu na sio bandari
sijui mseme nini sasa

Lkn kwa katibu mkuu wizara cjajua kosa lake jamaa mchapakaz sana namjua na namkubal vbaya sana
 
Usishangae Mwakyembe akarudishwa hapo hapo...
 
Hizo Ni weakness za waziri mwenye dhamana, kashindwa kuisimamia wizara ipasavyo. Hata hivyo system iliopita ilikuwa na chachu ya kupiga dilli.
Mana walizoea uongozi na nina uhakika hapo alipo anawaza tu uwaziri, kama aliekuwa katibu mkuu wake kawajibishwa yeye hata huo uwaziri safari hii atauona?
 
Ninahakika Mwakyembe na Sitta hawatorudi katika baraza la mawaziri
 
Mzungumzie na Mhe 6 nae wote walipita hapo mbona unazungumzia mmoja tu tujuze unalenga nini?
Mkuu 6 ni reject tayari ndani ya chama,
Alimuachia mkewe jimbo yeye akiwa na uhakika wa uspika na sasa kaukosa
Hiyo ni reject ila pia hatakiwi kuachwa ni lazima awajibike
 
Ninahakika Mwakyembe na Sitta hawatorudi katika baraza la mawaziri
Watanzania wenye upeo wengi wanaona hizi ni kama sarakasi tu,
Ni wanasubiri kuona baraza la mawaziri hapo ndo wataona mwanaga na mwelekeo wa serikali na nchi kwa ujumla
 
Mwakyembe anastahili kuwa jela muda huu, ashukuru Mungu alizaliwa Tanzania na kuna chama kinaitwa CCM
 
Back
Top Bottom