Mwakyembe na ufisadi mabehewa feki

ccm ni ile ile na wateuliwa wao ni wale wale huenda hili likafunikwa kijanja na kuishia kuwakandamiza wale wa chini ambao hawakufaidi chochote.
Upo sahii kabisa mkuu
 
Hivi Nchimbi,Mathayo,Kagasheki katika operesheni tokomeza walishiriki moja kwa moja kuwapa mkong'oto raia?
 
Ila waziri Mkuu anasignature? Mbona una leta majibu mepesi kwenye mambo ya msingi? unawezaje kumtoa waziri kwenye uchafu wa wizara yake?


Lowassa alisimamia mchakato wote wa richmond documents zote zinaonyesha Waziri mkuu yeye lowassa ndio alikuwa anafanya maamuzi. Mwakyembe hayupo kwenye document yoyote wala uamuzi wowote wa ununuzi mabehewa.

Kama chadema hampendi ufisadi msingempa chama fisadi lowassa na wenzie kina sumaye wanafki wakubwa nyie. Nyumbu!
 
Fisadi kwa lipi? Richmond ni ya Kikwete kwani pesa yako ya Escrow ulimgawia Lowasa? Zile billion zilizopotea kula wizara ya Ujenzi walichukua akina lowasa? Kivuko feki na mabehewa ni michakato ya mawaziri hizo mbinu zao za kujaribu kuwabebesha zigo watu wa chini kila mmoja sasa amejua, Safari hii Mwakyembe lazima apete tezi dume kwa kuwatesa watumishi wengine ambao kawabambikia kesi kukwepa JIPU lake.
 
Bor
Hivi Nchimbi,Mathayo,Kagasheki katika operesheni tokomeza walishiriki moja kwa moja kuwapa mkong'oto raia?
bora hao hawakushiriki lakini waling'oka, Mwakyembe yeye kashiriki live kala pesa pia Bandarini aliweka ukabila akapiga dili nyingi sana cha ajabu kaamua kufanya Dhambi kuwabambikia wengine kesi yake wengine wa chini na ccm wapo wanashabikia bila Aibu.
 
Kwa siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia wanasiasa kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo wakimshambulia kwa maneno Mheshimiwa Mwakyembe. Swali langu ni hili hivi hizi hoja mbona hazikuwepo pale kabla (kabla lowassa hajahamia CDM) na walikuwa nae bungeni, zinaibuka sasa baada ya lowassa kuhamia Chadema. Huu ni mpango mahususi wa kulipa kisasi kwa wote walioanika kashfa za Lowassa?
 
Document ipi ilimtaja lowasa ?? Kuhusu mabehewa mwakyembe ni mhusika wizara yake ilihusika mojakwa moja,,kama hakuhudika kufanya maamuzi bas ,hakuwa waziri
 
Kama mtu anaweza kukinunua chama, akawafanya watu wasahau magwanda yao. Akawafanya wale wanasiasa makasuku waliomuita mwizi, wawe wanampelekea ripoti ofisini kwake badala ya yeye kwenda ufipa, atashindwaje kujenga mkakati wa kumchafua waziri mmoja tu?. Kuna watu wanaambiwa kuwa wanapewa buku saba za Lumumba. Vipi kuhusiana na hawa wanaotumiwa na yule mnunuzi wa chama cha siasa, hawa wanaitwaje?. Maana dhambi ya mtu kununuliwa ni ile ile.
 
Wewe unatetea mijizi
 
Jesca David kishoa ni kivuli cha kafulila, hivyo mafisadi wa jipange bungeni
Ndio maana siku hizi hapa jf wameongezeka vishoka wa kuwatetea hao mafisadi na kuwaponda wanaopinga ufisadi
 
Hakika
3 problems I have noticed about Tz politics, 1.talking 2.talking 3.talking and then nothing happens, aliyeshiba ataendelea kushiba na mwenye njaa atabaki na njaa yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…