Another prophet of doom!.
Mungu ndiye mpangaji wa yote na ndie mweza wa yote!. Ni yeye pekee anayejua amepanga nini kwa maisha yake na lolote likitokea, huo ndio mpango wa Mungu!. Kumbuka "there is nothing new under the sun", lolote linaloweza kutokea sasa, limekwisha kutokea huko nyuma na likitokea litakuwa ndilo lililotakiwa kutokea na kwa muda ule uliopangwa!.
Dr. Mwakiembe will live to tell, na ataishi maisha marefu kwa kadri Mungu alivyompangia!.
Get well soon, sala na maombi ya Watanzania wenye mapenzi mema ni kumuombea uponyaji wa haraka ili arejee katika hali ya kawaida na kuendeleza mapambano ikiwa ni pamoja na kututegulia hiki kitendawili cha kutiliwa sumu!.
Huwa napata shida watu wanaposema kwamba litakalotokea ndilo Mungu amepanga. Mungu anasingiziwa vitu vingi sana. Mungu always anatuwazia mawazo yaliyomema sio ya kutuangamiza lakini yakutupa matumaini ya baadae.
Jeremiah 29: [SUP]11[/SUP] For I know the plans I have for you, declares the LORD, plans to prosper you and not to harm you, plans to give you hope and a future.
Sasa iweje leo apange mtu wake adhurike. Lazima uelewe kuna watu wanakufa kabla ya mpango wa Mungu. Waingereza wanaita 'premature death'. Hata hiyo biblia haiko kimya Ecclesiastes 7: 17 Do not be overwicked, and do not be a fool why die before your time?
Mungu anataka tuishi maisha marefu unless ana sababu tofauti itawekwa wazi. Psalm 90:[SUP]10[/SUP] The length of our days is seventy years or eighty, if we have the strength; yet their span is but trouble and sorrow, for they quickly pass, and we fly away.
Yaliyotokea kwa Mwakyembe haukuwa mpango wa Mungu. Hata kama alimkosea mtu kama baadhi ya watu wanavyosema lakini hakustahili hiyo adhabu maana kisasi ni cha Bwana peke yake.
Tuishi maisha ya kumpendeza Mungu na tutapewa maisha marefu.
Proverbs 3:[SUP]1[/SUP]My son, do not forget my teaching, but keep my commands in your heart, [SUP]2[/SUP] for they will prolong your life many years and bring you prosperity.!