Mwakyembe: Katiba mpya inatakiwa imaliziwe ila hatuwei kumpangia ratiba Magufuli

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Waziri wa katiba na sheria amesema katiba mpy ni muhimu imalizwe lakini kwa kuwa rais alishasema kuwa anainyoosha nchi hawezi kumpangia ni kipi cha kuanza nacho.
Sababu itamnyima uhuru.

 
Sitegemei comment hiyo toka kwa waziri wa katiba na sheria
 
Back
Top Bottom