Dr Slaa naye Taaluma yake huenda ni Feki maana kwa mtu anayejinadi ni msomi asingeweza kurubuniwa na Div 4 Nape na Div zero January makamba akaukacha upinzani kwa visingizio vya kufundishwa na Mwakyembe mmiliki wa PhD feki.Mbona watu kama Profesa Baregu, na hata Dr.Slaa ni wasomi waliobobea na walileta mabadiliko chanya na ambayo hadi leo tunaona matunda yake
Richmond ni ya KikweteLusinde ni hovyo lakini nilikubali hoja yake kwamba CHADEMA tukimuita mtu fisadi ujue tunataka awe mgombea wetu wa urais.
Unajua maana ya hip hop au unalopoka tu!?!?Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!
Acha kuongelea maneno ya vijiweni kwani huko kila anayekwenda kinyume na Mbowe hugeuka msaliti..Yule mzee Slaa alikuwa na msimamo hakutaka kuwa kigeugeu leo mtu unamtangaza kwenye list of shame mnatembea nchi nzhima kumnadi ni fisadi but from nowhere analetwa kwenu kwa njia za panya awe mgombea unadhani msomi gani makini angekubali upuuzi huo kama si wewe na Sugu mlioishia form two..Hata class mate wangu Mnyika hakukubaliana nao..ila njaa tu inamsumbuaDr Slaa naye Taaluma yake huenda ni Feki maana kwa mtu anayejinadi ni msomi asingeweza kurubuniwa na Div 4 Nape na Div zero January makamba akaukacha upinzani kwa visingizio vya kufundishwa na Mwakyembe mmiliki wa PhD feki.
January alijiendeleza ili apate mbinu ya kupiga pesa za ccm Kipindi cha kampeni alipiga billion 1.7 za kampeni hadi Magufuli akapagawa na kuapa kutomteua kuwa Waziri, sasa hiyo ndiyo faida ya usomi ccm? January sasa Dili la sukari kalikamata, mzungu mtaliano alipgwa dola million 1, mladi wa mararia alimpiga Sugu, hao ndiyo Wasomi unaowataka? Nape kule TBC pesa ya kulipia Live ilikuwa haifiki TBC inapigwa juu kwa juu, Chenji ya pesa zilizosalia toka china Kipindi cha kapeni, pesa za NIDA na marehemu Gadafi toka kwa membe ndizo zilitumika kuchakachua matokeo hadi akawa Mbunge huo ndiyo Usomi unautaka? Wanaojiita Wasomi huko ccm wengi ni shiiiiiiiida .sijaona hoja uliyojenga hapa zaidi ya kutaja majina..tukisema wasomi hatumaanishi phd..sasa unaambiwa msigwa kaishia form four,Sugu alikimbia form two..n.k hao kina Makamba na Nape walijiendeleza hadi wakafikia ngazi ya Masters
Wale aliowaomba ni akina nani kama sio wananchi? Au yeye wema sio mwananchi?Elewa nilichaondika, nimsema Wananchi, na Wema hakuomba kura kwa Wananchi!
kubali ukatae Dr Slaa alinunuliwa na pesa ya NIDA na marehemu Gadafi toka kwa Membe, madalali wa Dili walikuwa January Makamba na Nape ambao hawana PhD , wewe ndiyo Umekariri habari za vijiweni na Usomi wako kama Jesca, mbona mkiwa bungeni mnamtumia kibajaji darasa la saba? Kwa taarifa yako wabunge wengi wa ccm wamechukizwa na Kauli ya Mwakyembe maana ni kama amewatukana kijanja.Acha kuongelea maneno ya vijiweni kwani huko kila anayekwenda kinyume na Mbowe hugeuka msaliti..Yule mzee Slaa alikuwa na msimamo hakutaka kuwa kigeugeu leo mtu unamtangaza kwenye list of shame mnatembea nchi nzhima kumnadi ni fisadi but from nowhere analetwa kwenu kwa njia za panya awe mgombea unadhani msomi gani makini angekubali upuuzi huo kama si wewe na Sugu mlioishia form two..Hata class mate wangu Mnyika hakukubaliana nao..ila njaa tu inamsumbua
Mwakyembe ni liability.Phd holder,kaifanyia nini nchi hii,madudu yote ya ukiukaji wa katiba nchi hii mwakyembe anashangilia tu,wasomi kama mwakyembe nchi hii ni chanzo cha umaskin
Nimegundua kitu una matatizo ya kufwatili mamboUjasoma na bado upo na CHADEMA, Yethu kangu utakuwa Kihiyo zaidi.
Wasomi hawasusi zinapoletwa hoja mzito, Wasomi hawafanyi Fujo ili kushinikiza hoja zao, Wasomi hawashirikiani na Wahujumu uchumi kudhoofisha maendeleo ya nchi yao au hata kufurahia vikwazo vitakavyoyumbisha kiasi ukuaji wa uchumi wa nchi yao kusudi wapate kuaminika chaguzi za usoni.
Mtihani mwema