PhD gani huyo aliyekwenda india kununua mabehewa chakavu? Huo usomi gani? Kule bandarini alileta ukabila akawaweka ndugu zake kibao, huo ndiyo usomi? Report ya Richmond alificha file linaloonyesha Kikwete ni Mmiliki akatengeneza uzushi kwa Lowasa huo ndiyo Usomi? Kama PhD ni kwenda Hotelini kukaa masaa 3 kumfundisha DR Slaa jinsi ya kutengeneza Sinema ya kumdhoofisha lowasa basi wengi hawatahitaji PhD maana Mwakyembe anaidhalilisha.mmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhh...vyeti vya kugushi?????? This is a very serious allegation...
PhD gani huyo aliyekwenda india kununua mabehewa chakavu? Huo usomi gani? Kule bandarini alileta ukabila akawaweka ndugu zake kibao, huo ndiyo usomi? Report ya Richmond alificha file linaloonyesha Kikwete ni Mmiliki akatengeneza uzushi kwa Lowasa huo ndiyo Usomi? Kama PhD ni kwenda Hotelini kukaa masaa 3 kumfundisha DR Slaa jinsi ya kutengeneza Sinema ya kumdhoofisha lowasa basi wengi hawatahitaji PhD maana Mwakyembe anaidhalilisha.
Wameweka mpira kwapani!!!!Sijaelewa,Cdm wameishaje!Kama unashindwa kuandika tittle ni ishara tosha hata wewe una elimu ya hapa na pale!
mwakyembe ni sawa na mbwa mwoga, anaogopa kwa kuwa amezidiwa kete na sugu,Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Sugu ni lijinga moja lililochaguliwa na baadhi ya wahuni wa mjini, baada ya kuwafanyia vurugu watu wenye hekima ili wasiende kupiga kura.Sugu kaishia kidato cha pili tu.
Dira za ccm ni Kinana je? ana PhD? akina Ole sendeka ni Wasomi? Mkuu wa kitengo cha Uchakachuaji na kamati za Ufundi cha ccm ni January makamba ambaye form six alipata Div zero hata Nape ni Div 4 kama Jesca lakini ndiyo tegemeo la ccm kwenye kudhoofisha Upinzani, wanaojiita wasomi wa ccm wote akina, Chenge, Tibaijuka, werema, Maswi, ngereja, Kapuya, na wenzao wamelifanyia nini Taifa?Ila wabunge wengi wa cdm elimu yao imejaa ukakasi tukianzia na Kiongozi wa Upinzani na Mkiti wa cdm..ndio maana kunakosekana dira wanakuwa watu wa siasa za matukio ya msimu
Una tatizo linalo fanana na mwakyembeSasa anayewaambisha wasomi ni nani wewe usiyejua hata kuandika tu na matumizi ya herufi kubwa na ndogo au Mwakyembe (PhD)?
PhD ya Mwakyembe ichunguzwe maana ni feki kama yalivyo mabehewa feki.Sasa anayewaambisha wasomi ni nani wewe usiyejua hata kuandika tu na matumizi ya herufi kubwa na ndogo au Mwakyembe (PhD)?
Ila wabunge wengi wa cdm elimu yao imejaa ukakasi tukianzia na Kiongozi wa Upinzani na Mkiti wa cdm..ndio maana kunakosekana dira wanakuwa watu wa siasa za matukio ya msimu
mkuu akina kawawa, Karume,jumbe, na wenzao wengi hawakuwa na PhD , huyo Mwakyembe si Msomi inabidi achunguzwe Vizuri inaelekea alisoma kwa mbinu za ujanja ujanja tu hana Taaluma kichwani zaidi ya kusoma English tu.Wewe kwa akili yako na kwa akili ya wasomi wa kiafrika ni Wasomi wangapi majasiri wanaoweza Kujiunga na upinzani ili wapigwe mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha?
Ndio maana hata wakati wa kudai uhuru Mwalimu Nyerere aliwafuata waislam wa Pwani waliokua na elimu ya madrasa na busara kubwa na kuungana nao baada ya kuona wasomi na wakristo wa bara walikosa ujasiri kwa kuhofia nafasi zao kwenye serikali ya mkoloni.
Wasomi aina ya Mwakyembe hawajawahi kuleta mabadiliko chanya kwenye nchi za kiafrika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sugu kaishia kidato cha pili tu.
Hapana mkuu hakufika huko,jina lake halimo kwenye orodha ya waliofanya mtihani wa kidato cha piliSugu kaishia kidato cha pili tu.
Mbona hakushinda ubunge UVCCM, au kule kulikuwa na mbongo movie mwenzake?Watu wanamchagua Sugu kwa sababu ya Hip Hop na siyo kwa sababu ya uwezo wake, hiyo ni kawaida Dunia nzima hasa vijana ndiyo maana utaona leo hii Wema Sepetu akiamua kugombea Uraisi atapata kura nyingi anaweza kushinda lkn haimaanishi kwamba ana uwezo wa kuongoza ni kwamba tu sehemu kubwa ya binadamu wa Dunia hii ni simple minds na hao ndiyo wapigaji kura, na ndyo maana Dunia inaongozwa akina Kim Kardashian, George Clooney &Co. mamovie stars, wanamuziki n.k hata Profesa J hajashinda kwa sababu nyingine yoyote ile isipokuwa Hip hop!