Katuletea sheria ya copyright and neighbouring rights mwaka 1999.Huyo msomi kagundua nin cha maana au katuletea nin cha maana, usikute hata ki IQ kazidiwa basi tu alipata bahati ya kusoma
Unaweza ukawa hujasoma ila kuwa ndani ya Chadema ni Shule kabisa wewe uliosoma umefanya nn?? Na umefika wapi??
Pimbi wewe
Mgh!Dah....yaani wapinzani wana Elimu ndogo sana wanashindwa hata na Migambo
Mzee wa Gesenyi naona unatetea uraia wakoAnamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Acha mbwembwe Msikilize tena Mwakyembe vizuri halafu linganisha Msigwa, Kubenea, Lema, Mbowe, Mnyika - kwa miaka 8 walihubiri na walituaminisha kuwa Lowasa ni mwizi na fisadi leo kipo wapi?Huyo wamtegemea kwa fikra, utaishia jangwani. Aliishaikana thesis yake mwenyewe
Mbona mkiguswa nyie mnawaka Sana. Mbona Kwa Ole mlisemaje? Bora hata yeye katika 4M6Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Sasa kama hakuna shule inayofundisha busara, ilikuwaje yeye ahoji umahiri wa PhD katika kuongoza wabunge!Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Hii ndo raha ya JF ila muwe mnatunza manenoMwenzako ni mheshimiwa wewe uliyesoma unamzidi nini? Jihoji.
Anamshangaa Mbunge Sugu wa Mbeya ambaye hata Shule hajamaliza na anahoji umahiri wa PhD holder!
Kwa kweli hawa Wabunge wa chadema sijui hiki Chama kinawatoa wapi ni shiida hasa Sugu, Msigwa halafu eti ndiyo diplomat wa chadema!
Hoja za wajinga ndizo hizi