Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

Huyu jamaa tokea alipolishwa ile sumu amekuwa mentally retarded kabisaaaa.
 

Mpuuzeni tu huyo. Hawa wazee wanazeeka vibaya.
Yeye na PhD yake hiyo kalifanyia nini taifa? Kama siyo kupiga madeal Bandarini na Mpambe wake Kipande?
Hata angekuwa Professor, huwezi kujua kila kitu hata kwenye field ya profession yako.
Hayupo mtu huyo, duniani. Lazima kuna vitu ambavyo anao wanaona hawana elimu wanavijua wakati yeye na PhD yake hajui kitu. Yawezekana ule ugonjwa ulimharibu akili huyo mzee, kwa hiyo anadhani kuwa na PhD ndo kujua kila kitu. Mpuuzeeni na kumsamehe.
 
Sugu anamsubiri Kyela! Alimsaidia wakati fulani....sasa ameanza tena dharau anamwita huyu msani!! Kwenye siasa sio darasani mnashindana PhD! Kama anataka kushindana huko aende UDSM alikokimbia na njaa zake alizoziweka kichwani! Mwizi na fisadi wa mabehewa! Amejitoa akili sababu ya njaa.....
 
Nakumbuka kipindi cha kampeni 'slogan' ya Chadema "Elimu, Elimu , Elimu" !!! Kwenye inshu ya professional flani mfano Sheria mwache Dr. Mwakyembe amtolee nyodo Sugu., maana hata iweje Sugu hawez kubishana na Dr kwenye anga hizo sana sana aanzishe vagi. Msomi ni Msomi tu haswa yule asiye enda shule kukariri tu bali kutoka na uwelewa zaidi.
 
si dharau hata kidogo. Hata wewe elimu inakusaidia sana huwezi lingana na Kubenea. Hapa ndo kazi ya elimu.

Wabunge wengi ni vilaza sana.

Sasa inapokuja hoja ya Mwakyembe ni kuwa huwezi ukawa na hoja ya kisomi kama si msomi.

Tofautisha ZZK na Kubenea.
Mwakyembe aache dharau, kwanza sijaona mchango wowote wa hao wajiitao wasomi wa PhD hasa walioko bungeni, wamekuwa wanafiki wakubwa pale maslahi ya nchi yanapochezewa kwa maslahi ya kisiasa ya mabwana wakubwa wao
 
sugu aende shule ili awe na argument za kisomi.elimu inakusaidia kuwa na uwezo wa kupambanua mambo
 

Iq and level of education are two different things, knowledge can be easily attained by getting high quality education or pursuing degrees in school. on other hand, IQ is measured according to the actual capacity of the brain to process various types of information.

Is true that the people who live in countries with poor education quality automatically have low IQ.
 
Problem is not PHD, standard seven or whatever but the basic problem is PHD ACTIONS are not yet realized than mind-driven, personal interest-driven and slave-serving. I can only pick one action of which was revealed during NBC scandal.
English please!
 
Hiyo orodha yako ya mafisadi isiyokuwa na jina la Lowasa itakuwa feki.
 
Msomi ni msomi ni yupi msomi hapo? Kwani mwakyembe ni msomi? alisomea wapi? Usomi wa Mwakymbe ni feki Kama mabehewa feki Profesa maji marefu ni msomi kuliko mwakyembe.
 
Mbona nape na kinana wanamwita profesa magembe ni waziri mzigo sisi hatujasema kitu
Nape mwenyewe alipata Div 4 form four leo hii amekuwa Waziri wa kuchuja Habari zilizoandikwa na Wasomi kuliko yeye.. Mwakymbe ni msomi Feki aliyenunua mabehewa feki.
 
Hahaaa na wale wanaotumia kigezo cha KKK kuweza kugombea ubunge je tuwaiteje?!
 
Kwanza kabisa hakuna shule inayofundisha busara, alafu pia kigezo cha mtu kuongoza watu sio elimu bali ni hekima. Hivi kati ya sugu na mwakyembe nani anayewaongoza wajinga?
Mwakyembe anaongoza kwa upumbafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…