Mwakyembe awa M/kiti wa CHADEMA jimbo la Temeke

Mwakyembe awa M/kiti wa CHADEMA jimbo la Temeke

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Nimepita maeneo ya Keko nikakutana na shamra za uchaguzi wa viongozi jimbo la Temeke kuanzia ngazi ya wilaya.Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya temeke ni Mr Mwakyembe.
 
Mwakyembe ni ukoo mkubwa, japo umeweka habari zako kiudaku tunampongeza kwa ushindi kama habari zako zina ukweli
 
Uchaguzi wa chama Temeke umekamilika na Yafuatayo ni matokeo:

BAVICHA
Mkiti - Erick Mwakikato
Katibu - Benedictor Semengwa

BAWACHA
Mkiti - Sina Manzi
Katibu - Mwasity Kitwana

WAZEE
Mkiti - Mzee Mkunguna
Katibu - Simon Mwaipaja

VIONGOZI WA JIMBO
Mkiti - Bernard Mwakyembe
Katibu - Jacob Mlay
Mwenezi - Juma Kitema
Mhazini - Kubra Abdallah

Mwakilishi mkutano mkuu
Engineer Msambaza

Wajumbe 4 Kamati Tendaji
Deo Tossi
Ulius Sagat
Yesse Msengi
Mzee Zinga ( Bwana Jela)
 
Yaani umemuona mwenyekiti wa jimbo ukamuacha mwenyekiti wa wilaya.umevutiwa na jina badala ya utendaji wa mtu
 
UCHAGUZI JIMBO LA TEMEKE..!!

Leo Kuanzia Saa 3:00 Za
Asubui,Ukumbi wa Dar Peace Park
Uliopo Keko Fernicha...Mpak a Saa
10:30 Jioni Jimbo La Temeke
Lilifanya Uchaguzi wa Ngazi Ya
Jimbo Na Kupata Viongozi Wapya
Wafuatao,

BENARD MWAKYEMBE - M/KITI WA
JIMBO,

JACOB MLAY - KATIBU WA JIMBO,

JUMA KITEMA - KATIBU MWENEZI,

KUBRA ABDALLAH - M/HAZINA WA
JIMBO,

ENG MSAMBAZA - MWAKILISHI
MKUTANO MKUU,

SINA MANZI - M/KITI BAWACHA,

MWASITY KITWANA - KATIBU
BAWACHA,

ERICK MWAKIKATO - M/KITI
BAVICHA,

BENIDICTOR SEMENGWA - KATIBU
BAVICHA,

MZEE MKUNGUNA - M/KITI WAZEE,

SIMON MWAIPAJA - KATIBU WAZEE,

Wa Wakilishi Wa Nne Wa Kamati
Tendaji Ya Jimbo Ni ...
1) DEO TOSSI,

2)JULIUS SAGAT,

3)YESSE MSENGI,

4)MZEE ZINGA (Bwana Jela).

HAWA NDIO VIONGOZI WAPYA WA
JIMBO LA TEMEKE KATIKA NGAZI
TOFAUTI TOFAUTI.

Kurugenzi Ya Habari Temeke :

TanzData Jimbo La Temeke:

Simu No: +255 717 313186.
 
Uchaguzi wa chama Temeke umekamilika na Yafuatayo ni matokeo:

BAVICHA
Mkiti - Erick Mwakikato
Katibu - Benedictor Semengwa

BAWACHA
Mkiti - Sina Manzi
Katibu - Mwasity Kitwana

WAZEE
Mkiti - Mzee Mkunguna
Katibu - Simon Mwaipaja

VIONGOZI WA JIMBO
Mkiti - Bernard Mwakyembe
Katibu - Jacob Mlay
Mwenezi - Juma Kitema
Mhazini - Kubra Abdallah

Mwakilishi mkutano mkuu
Engineer Msambaza

Wajumbe 4 Kamati Tendaji
Deo Tossi
Ulius Sagat
Yesse Msengi
Mzee Zinga ( Bwana Jela)

NIMEFURAHISHWA SANA KWA NDUGU JUMA KITEMA KUUKWAA UENEZI wa WILAYA , HUYO NI KAMANDA WA UKWELI SANA NA MVUMILIVU WA KUTUPWA NA NI MFIA CHAMA , 2010 ALIPORWA USHINDI NA KIMATI KATA YA KURASINI .
 
hongera sana kamanda tunakutakia kila heri katika kujenga chama makini chadema ndo tegemeo jipya kwa watanzania
 
Back
Top Bottom