ataficha chooni
Kweli nimekubali Chadema mwendo mdundo
ataficha chooni
Yaani umemuona mwenyekiti wa jimbo ukamuacha mwenyekiti wa wilaya.umevutiwa na jina badala ya utendaji wa mtu
Nimepita maeneo ya Keko nikakutana na shamra za uchaguzi wa viongozi jimbo la Temeke kuanzia ngazi ya wilaya.Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya temeke ni Mr Mwakyembe.
Haya tumekusoma.
Kwani wewe bado hujaolewa??..hivi zzk yupo?
..hivi zzk yupo?
..hivi zzk yupo?
Zitto anashinda kwasangoma,usaliti ni mbaya asieeee....huyu kijana ataishi na ndoto ya usaliti mpaka kufa
Chadema imechokwa na watz
Uhusiano wa CCM na ACT ni huu hapa. Kwa kweli Mwigulu Nchemba ni kiboko. Aliwachomoa kutoka Chadema na bado anaendelea kuwachakaza tu. Zitto kwishnei!!Chadema imechokwa na watz