Mwakyembe awa M/kiti wa CHADEMA jimbo la Temeke

Mwakyembe awa M/kiti wa CHADEMA jimbo la Temeke

Uhusiano wa CCM na ACT ni huu hapa. Kwa kweli Mwigulu Nchemba ni kiboko. Aliwachomoa kutoka Chadema na bado anaendelea kuwachakaza tu. Zitto kwishnei!!

_monkey_love.jpg
Duh! Hii kali! Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa!!!!!! Hawa ACT pesa za Mwigulu ndizo zimewafanya wauze utu wao namna hii???!!!
 
Wewe ni msukule. Kwa taarifa yako hao mnaowachagua nao wataanza kuondoka muda mfupi ujao. You have Bern warned!
 
Uhusiano wa
CCM
na
ACT
ni huu hapa. Kwa kweli Mwigulu Nchemba ni
kiboko. Aliwachomoa kutoka Chadema na bado anaendelea kuwachakaza tu.
Zitto kwishnei!!

_monkey_love.jpg

Teh! teh! teh!
Sasa hapo Act ndo ipi na ccm ndo ipi?
 
uhusiano wa ccm na act ni huu hapa. Kwa kweli mwigulu nchemba ni kiboko. Aliwachomoa kutoka chadema na bado anaendelea kuwachakaza tu. Zitto kwishnei!!

_monkey_love.jpg

ha!ha!ha!haa! Mkuu hapo umeifanya siku yangu iwe bora sana.act+c.c.m=laana na mikosi.
 
Back
Top Bottom