vooodoo jamani, na wabunge pia!!?? sitaki kuamini hadi atajwe huyo mchawi! kwikwikwi...
Unajua mwakyembe kuumwa ghafla mie sishangai, na hata kama bahati mbaya yakitokea ya kutokea (which i hope, it doesnt happen) sitoshangaa vile vile, maana mbowe alishasema anajua kwamba ccm ndio inayoua watu na anajua how(kivipi ccm inavyoua hao watu) !Na nilitoa wito juu ya mbowe kuhojiwa kuhusiana na kauli yake aliyotoa ili iweze kumwaga mwanga zaidi, mkaniona chizi ! sasa hapa, jamani naombeni asije akanyanyua mtu mdomo maana watu walikuwa wakibisha, tena ningependa mkae kiiimya kama maji ya mtungini !Kwa kifupi sishangai chochote kilichotokea !!
Unashangaa nini hapo sasa, sifa ya kwanza ya mbunge wa Tanzania ni kuwa amejizatiti sana ktk mambo ya kiwizard..
...Nadhani kuna haja achukue tahadhari pia hata kama ni ugonjwa wa kawaida lakini binadamu huwa anaweza kufanya kitu chochote, muda wowote na mahali popote. Ukizingatia mambo yaliyofanywa na kamati yake yamegusa maslahi ya watu.... But mi namtakia afya njema na aendeleze mapambano..bRAVO mWAYEMBE!!!
ACHA IMANI ZA KISHIRIKINA WEWE UNAEJIITA MAMA.JINA LA MAMA LINA HESHIMA YAKE MSHIRIKINA.....Je na yeye aende kwa kalumanzira kama sio ugonjwa wa kawaida, jamani mama rwakatare hebu kemea hapo wachawi wote huko bungeni walegee.
Nasema Na Napenda Kusema Kwa Msisitizo Kuwa Hii Siyo Habari Ata Kidogo,mwak Kuumwa Kaumbiwa Na Nadhani Katika Listi Ya Wagonjwa Wa Kweli Yeye Hayupo Kabisa.....ameamka Na Mahang Over Yake Ukuchanganya Na Dhambi Zake Za Usaliti Basi Kapata Mawenge Wenge Ya Ajabu....kifo Kwa Mwakyembe Ni Wajibu Wake.
vooodoo jamani, na wabunge pia!!?? sitaki kuamini hadi atajwe huyo mchawi! kwikwikwi...
Unashangaa nini hapo sasa, sifa ya kwanza ya mbunge wa Tanzania ni kuwa amejizatiti sana ktk mambo ya kiwizard..
...Nadhani kuna haja achukue tahadhari pia hata kama ni ugonjwa wa kawaida lakini binadamu huwa anaweza kufanya kitu chochote, muda wowote na mahali popote. Ukizingatia mambo yaliyofanywa na kamati yake yamegusa maslahi ya watu.... But mi namtakia afya njema na aendeleze mapambano..bRAVO mWAYEMBE!!!
Je na yeye aende kwa kalumanzira kama sio ugonjwa wa kawaida, jamani mama rwakatare hebu kemea hapo wachawi wote huko bungeni walegee.
ACHA IMANI ZA KISHIRIKINA WEWE UNAEJIITA MAMA.JINA LA MAMA LINA HESHIMA YAKE MSHIRIKINA.....
Fisadi sina imani za kishirikina,usikurupuke tu, okay?
ULIPASWA KUWAELIMISHA HAO WALIOSEMA NA SIO KUMTAKA MAMA RWAKATARE KUWAKEMEA WACHAWI AMBAO WEWE HUWAJUI NA WALA HUJAPATA KUWASHUHUDIA...PIA UNAJUAJE KAMA HAZIKUWA NA HANGOVA ZA POMBE NA SI UGONJWA?
Hizo ni nyama choma za sabasaba huko Dom!Wabunge punguzeni kula nyama ya mbuzi,na mfanye mazoezi ili kujikinga na shinikizo la damu!Aliyekuwa mwenyekiti wa kamati teule ya bunge kuchunguza mkataba wa Richmond, Dk. Harrison Mwakyembe, ameugua ghafla akiwa bungeni na kulazimika kukimbizwa katika zahanati ya bunge.
Taarifa zinasema kuwa baada ya kuchunguzwa,ilibainika kuwa alikuwa na matatizo ya shinikizo la damu.
Mwakyembe anasema kuwa alianza kusikia kizunguzungu na hali ilipokuwa mbaya alitoka nje akisindikizwa na baadhi ya wabunge hadi katika zahanati hiyo ba Bunge.
Baadaye alisema kuwa hiyo ilikuwa ni homa ya kawaida tu