white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,329
- 13,310
msemaji wa familia ya mh.mwakyembe,victor mwambalaswa amekanusha uvumi uliokuwa umeenea kuwa mbunge wa kyela mh.mwakyembe amefariki dunia leo!na amesema hao ni wabaya wake ndio wanaoneza hizo habari.mheshimiwa anaendelea vizuri na j3 ,anaweza kuripoti kazini.source.radio one.