Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Zimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko makubwa TFF.
Tatizo hizi jitihada mbili zinasukumwa na uchaguzi wa TFF vinginevyo hakuna mageuzi zaidi ya kuwang'oa waliopo na kuwapachika makada wa CCM kama akina Ally Tembele au Mwakalebela n.k
Katiba ya FIFA iko wazi serikali zikae mbali na siasa za TFF na hizi jitihada za Mwakyembe na wenzie zinaweza kabisa kusababisha tukafungiwa soka miaka miwili sasa sijui hayo mageuzi hewa yatapenya wapi?
Vyombo vya khabari havikumhoji Mwakyembe ni aina gani zaidi ya kumng'oa Malinzi na timu yake?
Serikali haina mkakati wowote wa kusaidia soka ili ijitegemee zaidi ya kudhoofisha.
Hata kodi kwenye vifaa vya michezo wameshindwa kuifuta kwenye bajeti ya sasa na ni mageuzi yapi hayo makubwa?