Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,240
- 3,931
Sio BMT ni FATHii itakuwa kama kipindi kile BMT ilipomchoka Alhaj Ndolanga maana ilibidi nguvu ya ziada itumike ili kumtoa jamaa.
Hivi Joseverest huna interest na soka la bongo?!

Endelea kumpa darasaHahah haina tatizo mkuu, muhimu kuhabarika
Naon una interest na mali ya nzi ID yko tu inaonesha na km hjui hzo tuhuma alipewa toka mda sana kbla ata ya mchakato wa uchaguz kuanz ..Ubadhirifu umejulikana kipindi cha uchaguzi tu? Baada ya uchaguzi kama malengo yakitimia ya kupachika makada wa chama utasikia DPP anawafutia kwa nolle prosequi
Hakung'olewa na serikali alitolewa na kamti ya FIFA acha kutuongopea bwana.mkuu hata BLATTER aling'olewa na serikali kwa kashfa ya rushwa,acha kudanganya watu,Malinzi atakaa ndani mpaka usaili upite ili asiwe mgombea
Acheni Takukuru wafanye kazi yao hili la kumsingizia Mwakyembe mnataka kuhamisha mada sehemu isiyohusikaZimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko makubwa TFF.
Tatizo hizi jitihada mbili zinasukumwa na uchaguzi wa TFF vinginevyo hakuna mageuzi zaidi ya kuwang'oa waliopo na kuwapachika makada wa CCM kama akina Ally Tembele au Mwakalebela n.k
Katiba ya FIFA iko wazi serikali zikae mbali na siasa za TFF na hizi jitihada za Mwakyembe na wenzie zinaweza kabisa kusababisha tukafungiwa soka miaka miwili sasa sijui hayo mageuzi hewa yatapenya wapi?
Vyombo vya khabari havikumhoji Mwakyembe ni aina gani zaidi ya kumng'oa Malinzi na timu yake?
Serikali haina mkakati wowote wa kusaidia soka ili ijitegemee zaidi ya kudhoofisha.
Hata kodi kwenye vifaa vya michezo wameshindwa kuifuta kwenye bajeti ya sasa na ni mageuzi yapi hayo makubwa?

Zimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko makubwa TFF.
Tatizo hizi jitihada mbili zinasukumwa na uchaguzi wa TFF vinginevyo hakuna mageuzi zaidi ya kuwang'oa waliopo na kuwapachika makada wa CCM kama akina Ally Tembele au Mwakalebela n.k
Katiba ya FIFA iko wazi serikali zikae mbali na siasa za TFF na hizi jitihada za Mwakyembe na wenzie zinaweza kabisa kusababisha tukafungiwa soka miaka miwili sasa sijui hayo mageuzi hewa yatapenya wapi?
Vyombo vya khabari havikumhoji Mwakyembe ni aina gani zaidi ya kumng'oa Malinzi na timu yake?
Serikali haina mkakati wowote wa kusaidia soka ili ijitegemee zaidi ya kudhoofisha.
Hata kodi kwenye vifaa vya michezo wameshindwa kuifuta kwenye bajeti ya sasa na ni mageuzi yapi hayo makubwa?
Akitoa rushwa na kutumia madaraka vibaya tu aachwe tu!! Acha ashughulikiwe tu...!!Zimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko makubwa TFF.
Tatizo hizi jitihada mbili zinasukumwa na uchaguzi wa TFF vinginevyo hakuna mageuzi zaidi ya kuwang'oa waliopo na kuwapachika makada wa CCM kama akina Ally Tembele au Mwakalebela n.k
Katiba ya FIFA iko wazi serikali zikae mbali na siasa za TFF na hizi jitihada za Mwakyembe na wenzie zinaweza kabisa kusababisha tukafungiwa soka miaka miwili sasa sijui hayo mageuzi hewa yatapenya wapi?
Vyombo vya khabari havikumhoji Mwakyembe ni aina gani zaidi ya kumng'oa Malinzi na timu yake?
Serikali haina mkakati wowote wa kusaidia soka ili ijitegemee zaidi ya kudhoofisha.
Hata kodi kwenye vifaa vya michezo wameshindwa kuifuta kwenye bajeti ya sasa na ni mageuzi yapi hayo makubwa?
Acheni Takukuru wafanye kazi yao hili la kumsingizia Mwakyembe mnataka kuhamisha mada sehemu isiyohusikaZimezagaa tetesi za Takukuru kumfikisha mahakamani Rais wa TFF Jamal Malinzi na wakati huohuo Waziri wa Michezo amesikika akilonga na vyombo vya habari serikali imekusudia kuleta mabadiliko makubwa TFF.
Tatizo hizi jitihada mbili zinasukumwa na uchaguzi wa TFF vinginevyo hakuna mageuzi zaidi ya kuwang'oa waliopo na kuwapachika makada wa CCM kama akina Ally Tembele au Mwakalebela n.k
Katiba ya FIFA iko wazi serikali zikae mbali na siasa za TFF na hizi jitihada za Mwakyembe na wenzie zinaweza kabisa kusababisha tukafungiwa soka miaka miwili sasa sijui hayo mageuzi hewa yatapenya wapi?
Vyombo vya khabari havikumhoji Mwakyembe ni aina gani zaidi ya kumng'oa Malinzi na timu yake?
Serikali haina mkakati wowote wa kusaidia soka ili ijitegemee zaidi ya kudhoofisha.
Hata kodi kwenye vifaa vya michezo wameshindwa kuifuta kwenye bajeti ya sasa na ni mageuzi yapi hayo makubwa?
na huyu naye baada ya uchaguzi wa TFF, hatuna shida nayeKashfa ya Blatter iliishia wapi baada ya kujiuzulu?
Kumbe FIFA kuna FBIHakung'olewa na serikali alitolewa na kamti ya FIFA acha kutuongopea bwana.
Unfortunately. uwaambie Takukuru. Hata Blatter alisalimu amri. Ndio awe Malinzi?Ya TFF waachwe TFF