Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Hao wanaolalamika fukuza isije ikiwa kama jairo,safisa wapo watenda kazi kibao mtaani wanazagaa
kiongozi! Hata wewe, kumbuka hujafa hujaumbika
ukiacha sababu aliyotoa Mwakyembe hivi bwana Chizi ana kosa gani? Kapewa atcl ipo taabani ...mi naamini ni zengwe! Time ll tell
Ingekuwa vizuri kama ungetueleza hii habari umeitoa wapi na kama ndivyo, Siyo jambo la ajabu kupigwa zenge kwa sababu wengi wao wanahisi kama kibarua kitawatoka. Wengi wao wanafanya kazi kimazoea kwa hiyo watakuwa wako mbele kupinga mabadiliko yoyote.
wameshiba haooo kajisemea mwinyi..wamezoea kwenda kazini na kulipwa mishahata huku kukiwa hakuan andege hata moja zote wameziua ....
kiongozi! Nimeshutushwa sana na kauli za watu kama democratic ,inasikitisha sana
Hapa hatuongelei siasa au unafiki, simfahamu wala sijawahi kumuona huyu Chizi lakini sifa zake ziko clear kabisa kwa mtu unayejishugulisha kujua mambo. Tatizo wabongo kila kitu unataka utafuniwe na magazeti hujishugulishi kujua undani wake. Biashara ya ndege ni ngumu sana huwezi kumchukua mtu yoyote mtaani ukamwambia aongoze hata awe na elimu kiasi gani, uzoefu ndio unamata na Chizi ni mzoefu. Mwakyembe na Kilango ni wababaishaji tu na watu wa kukurupuka kutaka sifa. Sijaona bajeti ya wizara ya Mwakyembe lakini kama anataka kusaidia shirika atenge fedha za kulipa mafao wafanyakzi ili shirika liwapunguze wabakie wachache wenye uwezo. Ila kwa stahili hii hata kama hiyo hela imetengwa watapunguzwa majembe na kubakia mishipa ambayo ni ndugu zao
hahahahaaa,,,,,pole sana mdau,,,so u mean PRECISION huwa inafaulisha abiria kama coaster za dar-moro???au isuzu journey zinazotoka ifakara kuja moro,,,,,,
Tatizo la hii nchi kudhania kila kitu ni siasa. Hakuna utetezi kwenye suala la siasa ili wengi waseme anafaa. Inawekwa rekodi ya utendaji ya Chizi na iko clear kuwa ni mmoja wa na CEO bora afrka mashariki na ana proven records. Sasa suala la wewe unampenda Mwakyembe unatetea kila kitu alichofanya hata kama kibaya kuna siku utakuja kumpenda hata David Cameron halafu ujute kuzaliwa. Kumtoa mtu mzoefu katika uongozi wa mashirika ya ndege na kumuweka rubani kwa kuwa ana uzoefu wa kuendesha ndege ni ubazazi. Ndo maana tunachekwa na dunia nzima kwa ubwege wetu kwa kuwa kila kitu tunaweka siasa. Hebu we kilaza niambie shirika gani hapa A.Mashariki lina Boeing 737-500? Sio kukurupukia kila hoja maadam uko JFhao wanaomtetea huyo chizi ni wezi wenzie
ujue ni kama wale walosukuma gari la yule kibaka mwingine jah hiro
make wanakula wote ofisi nzima loh fukuza wote warudi shamba wakalime viazi ulaya nyambaf kabisa