CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,480
Huu ndio upuuzi unaoifanya nchi hii kubakia maskini. Rubani kazi yake ni kuendesha ndege, kuongoza shirika la ndege lazima uwe umebobea katika STRATEGIC Management na sio urubani. Paul Chizi alikuwa boss wa JETLINK, shirika la waKenya, kwa wakenya kumpa uboss mtanzania hawezi kamwe kuwa mbabaishaji, hata kidogo kwa vile kule kuna ushindani sana. Waziri Nundu alimuomba aache kazi kule aje kuokoa jahazi nchini kwake, nyie mnataka afanyiwe interview wakati credentials zake ziko clear!? Kwa muda mchache aliokaa amefanikiwa kuleta ndege ambayo ndo most competent kwenye soko la afrika masharika. Boeing 737-500 inabeba watu 108 na inatumia saa moja kamili DAR to Mwanza kwenye abiria wengi. Iko very efficient kwenye fuel. Precision wana boeing yao inabeba abiria 137 lakini mara nyingi haijai na inakula mafuta zaidi pia inatumia saa moja na dk 10 Dar to Mza. Fly 540 wanatumia Jet inabeba abiria 54 tu ingawa iko fuel efficient kama hii ya ATC lakini inatumia saa moja na dk 15 Dar to Mza. Kama umeenda kidogo shule calculate COMPETITIVE ADVANTAGE hapo then utaona kwa nini hata bei Bw Chizi aliweka chini kuliko bei za hao wengine. Jamaa wa mashirika binafsi huyu jamaa aliwanyima usingizi kabisa. Sisi tunaotumia huu usafiri mara nyingi tumehuzunishwa sana na kuondolewa kwa huyu jembe kwa alitupa bei ya ukombozi na ndege inakuwa full wiki nzima toka imefika. Labda kaondolewa kwa kuwa yuko KAMBI YA LOWASSA!!!!
nadhani itakuwa kweli,ukabila itakuwa ndio sababu.maabna hataki kusema sababu ya msingi,paul alikuwa anafanya vizuri.nyinyiemu hakuna aliyebaki wote ni vimeo hata huyo mwakyembe tupaa kule.huwezi tembea na mwizi wewe usiibe.
ni kweli haikuwa lazima,lakini sababu iliyotolewa haina maana hiyo unayoisema wewe.na mie ninavyoelewa watu walikuwa wakilipwa bila kufanya kazi kipindi cha yule fisadi aliyepelekwa mahakamani,toka paul aanze kukaimu,mambo yalibadilika, na mkuu alitetengua uteuzu hajasema kuwa paul alikuwa mfisadi,ila kasema taratibu na kanuni,hebu nyie ambao mnaona mwakyembe yupo right,tuambieni hizokanuni na taratibu zilizokiukwa.Chiza alikuwa ni kaimu, si lazima ukikaimu uwe full.
Kosa la Paul Chizi ni nini?
Kwa nini amemwachisha kazi? Hilo ndilo muhimu. Any clue!?
ni kweli haikuwa lazima,lakini sababu iliyotolewa haina maana hiyo unayoisema wewe.na mie ninavyoelewa watu walikuwa wakilipwa bila kufanya kazi kipindi cha yule fisadi aliyepelekwa mahakamani,toka paul aanze kukaimu,mambo yalibadilika, na mkuu alitetengua uteuzu hajasema kuwa paul alikuwa mfisadi,ila kasema taratibu na kanuni,hebu nyie ambao mnaona mwakyembe yupo right,tuambieni hizokanuni na taratibu zilizokiukwa.
Basi wacha apange safu yake ili akipewa sumu asimsingizie mtu maana yake kwa unafiki huyu mzee anaweza akawa anaongoza.Alipokuwa India watanzania niombeeni nikurudi napasau jipu lote alipokuja kila mtu anajua alichokifanya.Bora angedanja tu kudadeki
Haya unayoongelea wewe mshabiki yamekuwepo kabla ya Chizi, yeye kaingia zama za Omar Nundu zamani alikuwepo Mattaka(o) mwenye kesi mahakamani na alikuwa anatumiwa na makampuni binafsi kudhohofisha. Kuwapunguza wafanyakazi ATC inatakiwa serikali itoe hela za kuwalipa mafao kwa kuwa shirika halina. Sidhani kama Chizi angekurupuka, labda tumuulize Mwakyembe je AMETENGA fedha katika bajeti za kuwalipa mafao wafanyakazi wa ATC ili wapunguzwe? Kama hajatenga ina maana hata Lussajo hatakuwa na ujanja wa kuwapunguza hao wafanyakazi na tutabakia kwenye Vicious circle.Kosa ni kulipwa mishahara wakati hawazalishi - na Chizi akiwa ndio bosi pale.
Tunajua wewe hulioni, lakini kushindwa kufanya juhudi mpaka shirika likasimama lenyewe hilo ni kosa kubwa kuliko yote uwezayo kuyafikiria.
MR tom,taarifa kwa uma haikiwa sababu ya ufanisi,ila kanuni na taratibu.pia ujue yule alikuwa ni mkurugenzi kwenye shirika la wakenya na ni mara chache sana wakenya kumwamini mtz maana nadhani unajua.and ti tje eyes of the public yule jamaa amepiga mzigo tumeona mambo yake kalikuta shirika limekufa kajitahidi kufufua.sasa sababu ya kimsingi au hizo taratibu zilizokiukwa kwenye uteuzi ndio haswa,uma tunataka tuzijue la suvyo kweli imani kwa mkuu itapungua,asije akawa mzuri kukagua wenzake wakiwa jikoni,kumbe nayeye akikaa huko jikoni anaharibu,huo ndio wasiwasi wangu.Ukaimu? Ok ufanisi wake mbaya hivyo kuundiwa mzengwe ili aondolewe ni fair play.
Umesema jambo la msingi sana. Let Mwakyembe tell Tanzanians Kama aliyetenguliwa uteuzi kuna justification in law and employment rules ya kufanya hivyo. Vinginevyo haitakubalika wa wasifu alio nao Mwakyembe. Ataeleweka vibaya sana tena sana na Bunge tutaliomba limwajibishe kama wenzake!!!
Hayajui adha tunayopata tukiulizwa huku ughaibuni. Mfano, unaulizwa unatokea wapi? Najibu: Tanzania, swali lingine: Mna kampuni gani ya ndege? hapo ndiyo unaanza kuchukia uwepo wako pale, najibu: Aaahh eeeeeh mara ooooh, tunashirikiana na Kenya airways, mara Precision kumbe nako ni wizi mtupu hakafiki popote zaidi ya kuwapelekea abiria Kenyaairways. Ujanja ujanja mwingi kila kona nchi hii.