Mwakinyo kama Kibanga ampiga mkoloni

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,293
12,593
Tanzania tulitakiwa kumpa zawadi kubwa Mwakinyo kwa kitendo cha kumpiga mkoloni. Kibanga mwenye asili ya Tanga pia alifanya hivyo huko nyuma tukampa zawadi ya kusomwa kwenye vitabu vya shule za msingi zote nchini ili kila mtu amfahamu Kibanga Kwa ushujaa wake. Huyu Hassani tumpe zawadi gani ili ajisikie kwamba amefanya kazi nzuri kama Kibanga?
 
Back
Top Bottom