Ndugu yangu Mwakiembe pole sana ni harakati zako pale uwanja wa ndege wa JKNIA ndizo zilizokuponza, wewe bila kujua uligusa maslahi za watu,mtandao wa wauza unga ni mkubwa sana unaanzia shamba(pakstani) ,china hadi brazil, sasa juhudi zako ziliutikisa mtandao huo ndio maana wamekushughulikia, huoni Mzee alisema ana majina ya wauza unga lakini hajawataja hadi leo. Huoni Amina Chifupa walivyomfanya.
Sasa unaenda kukaakijiweni, maana hiyo wizara uliyonda ni kijiwe no moja. Muulize mwenzio Sitta alimanda mpaka fegi akawa anagongea.

Uwanja wa ndege na bandari ndio vilivyo mponza aliingilia maslahi ya wakubwa
Ndugu yangu Mwakiembe pole sana ni harakati zako pale uwanja wa ndege wa JKNIA ndizo zilizokuponza, wewe bila kujua uligusa maslahi za watu,mtandao wa wauza unga ni mkubwa sana unaanzia shamba(pakstani) ,china hadi brazil, sasa juhudi zako ziliutikisa mtandao huo ndio maana wamekushughulikia, huoni Mzee alisema ana majina ya wauza unga lakini hajawataja hadi leo. Huoni Amina Chifupa walivyomfanya.
Sasa unaenda kukaakijiweni, maana hiyo wizara uliyonda ni kijiwe no moja. Muulize mwenzio Sitta alimanda mpaka fegi akawa anagongea.
Una ushahidi? punguzeni stori za vijiweni. Jina lake lisingekuwamo katika baraza jipya ungeandika nini? watu wengine bana. Mnakera sana.
Vipi na wewe ni wale wale?Huyo mwakiembe hamna kitu nimpenda sifa tu
Ushahidi ni wa kimazingira mno , hivi wewe ni kipofu kiasi hicho? pia Mrema kung`olewa wizara ya mambo ya ndani Enzi zile baada ya kukamata dhahabu uwanja wa ndege ulitaka ushahidi?
Rekebisha kumbukumbu zako kuhusu Mrema kuondolewa kwenye wadhifa wa Waziri wa Mambo ya Ndani...
Hakuondolewa kwa sababu hiyo unayoisema...rudia kuitafuta historia...
Pamoja na upuuzi wake mwingi alionao, Mrema anabaki katika histori ya Tanzania kama mtu pekee aliyewahi kukataa kukubaliana na uamuzi wa kipuuzi wa baraza la mawaziri na kuamua kuuweka upuuzi huo hadhatani...Hicho ndicho kilichomuondoa kwenya nafasi hiyo....
Tafakari...
Siamini, mbona aliyesema serikali ya majini kabaki?Ndugu yangu Mwakiembe pole sana ni harakati zako pale uwanja wa ndege wa JKNIA ndizo zilizokuponza, wewe bila kujua uligusa maslahi za watu,mtandao wa wauza unga ni mkubwa sana unaanzia shamba(pakstani) ,china hadi brazil, sasa juhudi zako ziliutikisa mtandao huo ndio maana wamekushughulikia, huoni Mzee alisema ana majina ya wauza unga lakini hajawataja hadi leo. Huoni Amina Chifupa walivyomfanya.
Sasa unaenda kukaakijiweni, maana hiyo wizara uliyonda ni kijiwe no moja. Muulize mwenzio Sitta alimanda mpaka fegi akawa anagongea.
Wewe ndiye huna kumbukumbu kabisaa, huo upuuzi unasema aliuweka hadharani ni baada ya kutoka wizara ya mambo ya ndani, Rai Mwinyi alitengua uteuzi wa uwaziri wa Mrema akiwa wizara ya kazi, kule ndiko alikotoa siri za baraza la mawaziri kutokana na frustration za kung`olewa mambo ya ndani.
Hayo hayo angeandika, yanaendana piaUna ushahidi? punguzeni stori za vijiweni. Jina lake lisingekuwamo katika baraza jipya ungeandika nini? watu wengine bana. Mnakera sana.
Hayo hayo angeandika, yanaendana pia