msela wa mbagala
Senior Member
- Dec 13, 2019
- 139
- 441
Huu ndo mwaka ambao wanasiasa tutacheza nao draft, mpira na bao.
Ni mwaka ambao wanasiasa watabeba ndoo kichwani. Ni mwaka ambao usishangae kumuona mwanasiasa akishinda kijiweni. Ni mwaka ambao ligi za mpira za hovyo nyingi tutaziona.
Msishangae sana.
Msishangae sana kukutana na mwanasiasa kwenye daladala akawalipia wote nauli.
Msishangae pia.
Nawasilisha.