Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

Hahahahahaaaaaaaaa! Poleni sana. Kwani si mlikuwa mnamlinganisha JPM na Trump? Sasa atamshughulikiaje swahiba wake?
Msijitete yule hana uswahiba na wadhulumishi na walaghai kama ccm.

Mjipange kushikishwa adabu na Trump.
 
Mkuu ni mwaka wa msiba chadema....wapiga ramli wao na media walizozinunua ndio anguko lao kama ambayo imetokea kwa Clinton.
 
Hahaha huyu abakie huku kwenye Local Politics tu.

Kwanza Republican ni sawa na CHADEMA kiitikadi.

Kwa hiyo jiangalie sana Lizaboni.

Pole!
 
Lizaboni hivi hauna kitu kingine cha kuongelea kwa ustawi wa nchi kwa ujumla?

Mambo kama ya kiuchumi na kijamii yasiyoonyesha utofauti wa kiitikadi ya kisiasa.
 
Kwani haya si mambo ya msingi? Mmepigwa Nje Ndani
Usiniweke ktk makundi ya siasa. Elewa nilicho kuambia mambo ya siasa za vijembe na kupashana hapa nchini ndio yanayorudisha maendeleo nyuma miaka na miaka mambo ya kinafki tu Ila is msingi hayana ufwatiliaji kabisa
 
Kwa hiyo huyu kamaa amekuja kutwambia kwamba hypocrites wa kile chama wanampenda Trump? Nitashangaa sana. Trump ni mtu asiyependa wala kuamini political correctness, hawawezi kuwa kipenzi cha wana CCM hata siku moja. Tumeshawahi ku-comment humu before, ukipenda siasa za kinafiki nafiki ni lazima unakuwa shabiki wa Democrats pia. Tatizo la sisi wabongo tunadanganywa sana ya CNN, tunafikiri inatwambia ukweli kumbe waongo watupu, na hatuna media outlet nyingine (Kama ilivyo FOX) ambayo tunaipata huku ili kupata views tofauti. Kwa hiyo wajinga wasiofanya research ya kutosha ndio waliokuwa wanaamini kwamba Democrats wangeshinda kama ambavyo CNN na Yahoo walikuwa wanawaaminisha kila siku.
 
Lizsbon unataka kutudanganya kwsmba ccm mlikuws mnamsapoti Trump? Trump slisema atakula sahani moja na viongozi wa Afriks wanaokandamiza haki za raia. Magu na rafiki yake Kagame watakuwa wa kwanza kwenye list.
 
Msiyempenda kaja. Koleo litaitwa koleo na si kijiko kikubwa.......Wale wapenzi wa 'political correctness' leo ni habari mbaya sana kwenu.
 
Mbona hata makada wa ccm walikuwa team Hilary
1. william malecela a.k.a le mutuz
2. Mange kimambi
3. mashaka Matata
4. Iene Mwamfupe
5. Nassoro Awadh
n.k
hivi wanawalipa hiyo buku saba kwa thread au comment?
 
Trump ni mtetezi wa wananchi wanaodhulumiwa na viongozi madikteta hasa Afrika.
Nakumbuka alisema hatakubali matokeo kama patakuwa na wizi wa Kura.
Trump,leta moto huo Afrika ili Chaguzi ziwe huru na haki.
Umemwelewa vibaya. Hana urafiki na vuongozi wabinafsi, wazembe, ombaomba, lialia, fisadi, na wa aina hiyo, hasa Afrika.

Hivyo kimtazamo wa uongozi hatofautiani na Rais Magufuli. Ni kuisoma namba tum
 
Ukiona mtu ana-attempt kumuua kiongozi wake kwa sumu jua huyo hana tofauti na mganga wa kienyeji, basi hata utabiri wake anatabiri kama witch doctor.Trump walikuwa wanamuwangia tu na siyo vinginevyo wao waendelee kutabiri LOWASSA atakuwa rais siku moja , ndiyo size ya UTABIRI WAO
 
Hata muwe wa kwanza kupongeza rungu lake litawaangukia miunguwatu na wabaka demokrasia popote pale walipo.
Trump ni rais wa Marekani siyo Afrika, muhimu ni kwamba Wapiga debe wa Clinton wote mmeaibika.
 
Hahaha huyu abakie huku kwenye Local Politics tu.

Kwanza Republican ni sawa na CHADEMA kiitikadi.

Kwa hiyo jiangalie sana Lizaboni.

Pole!
Hahahahahaaaaaa! Naona mmeanza kujipendekeza sasa. Mlisema CHADEMA ni chama cha Kidemokrasia sasa na Demokrat. Sasa mnasema Republican kinafanana kwa sera na CHADEMA. Hahahahahaaaaaa! Ngachoka mie
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…