Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,579
- 1,080
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Makini kivipi Dokta? Embu nieleweshe cha kufanya kakaUkipata Malaria inaweza kuwa ndio safari, uwe makini sana.
Makini kivipi Dokta? Embu nieleweshe cha kufanya kaka
Kaunga,hakuna uongo hapa ndugu yangu,sina BP,sina sickle cell,sina kisukari,Mara ya mwisho kuugua Malaria nilikua na miaka 8.Magonjwa ninayo kumbana nayo ni Kubanja/kikohozi haswa kipindi cha vumbi na upepo mkali,mafua huwa napata sema mara chache sana kwa mwaka mara moja kama sikosei.Mfano mzuri zaidi ni Red Eyes huwa naona tu kwa watu sijawahi kuugua Red eyes tokea kuzaliwa kwangu.Niamini Kaunga.Bila kusahau maumivu ya kichwa na hilo hutokea pale tu ninapokesha kwenye Lager tena maumivu yake hayachukui muda nikipata supu tu nakuwa fiti.hongera mimi nina siku 20 sijaugua malaria na mbu hawaning'ati!
lazima utakuwa unatania kwa kufikiria una tatizo lolote; ina maana una kinga nzuri sana dhidi ya plasmodium. Ila ngoja wataalamu waje maana niliwahi kusikia carrier wa sickle cell anemia huwa hawaugui ugui sasa sijui ni malaria tu au maradhi yote.
Tupo pamoja kaka,Ngoja niwasubiri madokta nadhani nitapata ushauri mzuri zaidiMimi sio dokta, ila hiyo huwa nasikia huku Street University.
Lakini kwa kiasi fulani naamini maana nilishaona mtu mmoja wa dizaini yako alipata Malaria ikawa mshike mshike tunambeba na ni mtu mzima. Mimi napata kama kila 6 Months or less na huwa hainisumbui.
Asante nduguHongera sana bwana....!
A kid still,,,eeeeh? Wacha hizo Arawa Mentor,Nimezaliwa Sardalama mkuu..Mentor hii kitu ni ukweli mtupu.Na kingine cha Ajabu naweza kumgawia mtu yeyote yule damu.8 + 20 = 28 years.
anyway...
ur name tells it all.. rual swagga, njoo daslama afu uhadisie...mbu wa nangulukuru ndo unajisifu!!!
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Nashukuru kakaHiyo ni aina ya damu uliyinayo wala huna tatizo...
A kid still,,,eeeeh? Wacha hizo Arawa Mentor,Nimezaliwa Sardalama mkuu..Mentor hii kitu ni ukweli mtupu.Na kingine cha Ajabu naweza kumgawia mtu yeyote yule damu.
Kaunga,hakuna uongo hapa ndugu yangu,sina BP,sina sickle cell,sina kisukari,Mara ya mwisho kuugua Malaria nilikua na miaka 8.Magonjwa ninayo kumbana nayo ni Kubanja/kikohozi haswa kipindi cha vumbi na upepo mkali,mafua huwa napata sema mara chache sana kwa mwaka mara moja kama sikosei.Mfano mzuri zaidi ni Red Eyes huwa naona tu kwa watu sijawahi kuugua Red eyes tokea kuzaliwa kwangu.Niamini Kaunga.Bila kusahau maumivu ya kichwa na hilo hutokea pale tu ninapokesha kwenye Lager tena maumivu yake hayachukui muda nikipata supu tu nakuwa fiti.
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
Asante kaka,Hongera na wewe pia tuzidi kumshukuru mwenyezi MunguMshukuru Mungu sana ndugu yangu na zaidi muombe sana uendelee kuwa na afya njema. Wengi husema kuwa katika hali kama hiyo mwili huwa unapata tabu kujidefend mara upatapo ugonjwa
Binafsi sijawahi kulazwa kabisa toka nizaliwe (Kitanda cha hospitali nimelala nikiwa mtoto na wakati nikiuguza wngine) na huwa kila siku iendayo kwa Mungu namuomba niendelee kuwa na afya njema