Wakuu
Mimi Nami Nina Tatizo moja. Kila mwezi nasumbuliwa na malaria. Napima, then Namezaga mseto, nakuwa sawa Ila ndani ya siku 30, inarudi tena. Najikuta kila mwezi nameza sawa. Natumia Chandarua Usiku, Sina vikao vya Usiku. Najikinda na mbu. Ila malaria inatudia Mara kwa Mara
Je Kuna suluhisho la kudumu?