Mwaka Wa 20 Sijaugua Malaria

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
hongera mimi nina siku 20 sijaugua malaria na mbu hawaning'ati!

lazima utakuwa unatania kwa kufikiria una tatizo lolote; ina maana una kinga nzuri sana dhidi ya plasmodium. Ila ngoja wataalamu waje maana niliwahi kusikia carrier wa sickle cell anemia huwa hawaugui ugui sasa sijui ni malaria tu au maradhi yote.
 
Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,506
2,000
Makini kivipi Dokta? Embu nieleweshe cha kufanya kaka

Mimi sio dokta, ila hiyo huwa nasikia huku Street University.

Lakini kwa kiasi fulani naamini maana nilishaona mtu mmoja wa dizaini yako alipata Malaria ikawa mshike mshike tunambeba na ni mtu mzima. Mimi napata kama kila 6 Months or less na huwa hainisumbui.
 
Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
hongera mimi nina siku 20 sijaugua malaria na mbu hawaning'ati!

lazima utakuwa unatania kwa kufikiria una tatizo lolote; ina maana una kinga nzuri sana dhidi ya plasmodium. Ila ngoja wataalamu waje maana niliwahi kusikia carrier wa sickle cell anemia huwa hawaugui ugui sasa sijui ni malaria tu au maradhi yote.
Kaunga,hakuna uongo hapa ndugu yangu,sina BP,sina sickle cell,sina kisukari,Mara ya mwisho kuugua Malaria nilikua na miaka 8.Magonjwa ninayo kumbana nayo ni Kubanja/kikohozi haswa kipindi cha vumbi na upepo mkali,mafua huwa napata sema mara chache sana kwa mwaka mara moja kama sikosei.Mfano mzuri zaidi ni Red Eyes huwa naona tu kwa watu sijawahi kuugua Red eyes tokea kuzaliwa kwangu.Niamini Kaunga.Bila kusahau maumivu ya kichwa na hilo hutokea pale tu ninapokesha kwenye Lager tena maumivu yake hayachukui muda nikipata supu tu nakuwa fiti.
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
8 + 20 = 28 years.

anyway...

ur name tells it all.. rual swagga, njoo daslama afu uhadisie...mbu wa nangulukuru ndo unajisifu!!!
 
Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
Mimi sio dokta, ila hiyo huwa nasikia huku Street University.

Lakini kwa kiasi fulani naamini maana nilishaona mtu mmoja wa dizaini yako alipata Malaria ikawa mshike mshike tunambeba na ni mtu mzima. Mimi napata kama kila 6 Months or less na huwa hainisumbui.
Tupo pamoja kaka,Ngoja niwasubiri madokta nadhani nitapata ushauri mzuri zaidi
t
 
Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
8 + 20 = 28 years.

anyway...

ur name tells it all.. rual swagga, njoo daslama afu uhadisie...mbu wa nangulukuru ndo unajisifu!!!
A kid still,,,eeeeh? Wacha hizo Arawa Mentor,Nimezaliwa Sardalama mkuu..Mentor hii kitu ni ukweli mtupu.Na kingine cha Ajabu naweza kumgawia mtu yeyote yule damu.
 
Last edited by a moderator:

marango

Member
Oct 31, 2012
81
0
Mimi nina mwaka wa 16 sijaugua malaria na magonjwa mengine huwa hayanisumbui labda mara chache mafua,kikohozi,kichwa nikiwa nimekaa muda mrefu bila kula na tumbo kuharisha kama nimekula kitu kibaya na huwa nikijisikia dalili za homa napiga viroba viwili nikiamka kesho yake nakuwa poa na hii hunitokea mara chache sana kwa mwaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
A kid still,,,eeeeh? Wacha hizo Arawa Mentor,Nimezaliwa Sardalama mkuu..Mentor hii kitu ni ukweli mtupu.Na kingine cha Ajabu naweza kumgawia mtu yeyote yule damu.

So wewe ni O+ hiyo nzuri tatizo ni pale utakapohitaji damu ..balaa!!!! heri sie kina AB..twapokea kote!

Apo kwenye malaria mbe labda tumuite mtaalamu Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,250
Mshukuru Mungu sana ndugu yangu na zaidi muombe sana uendelee kuwa na afya njema. Wengi husema kuwa katika hali kama hiyo mwili huwa unapata tabu kujidefend mara upatapo ugonjwa

Binafsi sijawahi kulazwa kabisa toka nizaliwe (Kitanda cha hospitali nimelala nikiwa mtoto na wakati nikiuguza wngine) na huwa kila siku iendayo kwa Mungu namuomba niendelee kuwa na afya njema
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Kaunga,hakuna uongo hapa ndugu yangu,sina BP,sina sickle cell,sina kisukari,Mara ya mwisho kuugua Malaria nilikua na miaka 8.Magonjwa ninayo kumbana nayo ni Kubanja/kikohozi haswa kipindi cha vumbi na upepo mkali,mafua huwa napata sema mara chache sana kwa mwaka mara moja kama sikosei.Mfano mzuri zaidi ni Red Eyes huwa naona tu kwa watu sijawahi kuugua Red eyes tokea kuzaliwa kwangu.Niamini Kaunga.Bila kusahau maumivu ya kichwa na hilo hutokea pale tu ninapokesha kwenye Lager tena maumivu yake hayachukui muda nikipata supu tu nakuwa fiti.

jamani sijakudoubt hata kiduchu, nimefurahishwa tu na hali yako. Mshukuru Mungu na ninafikiri ndiye unayetakiwa kumpa credit zote kama ni muumini ofcourse!
 
happiness win

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,462
0
Ni miaka ishirini imepita tokea nimepata tiba ya Malaria.Na mbu kila siku wananingata....Je kuna tatizo lolote?Nahitaji mawazo yenu Madaktari

Usiwe na wasi wasi hakuna tatizo. Cha kuzingatia ni kujikinga na mbu, usijiachie tu wakung'ate wanavyotaka; si vibaya ukiwa na tabia ya kucheki ili siku ikiingia uwahi kuitibu.
 
Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
Mshukuru Mungu sana ndugu yangu na zaidi muombe sana uendelee kuwa na afya njema. Wengi husema kuwa katika hali kama hiyo mwili huwa unapata tabu kujidefend mara upatapo ugonjwa

Binafsi sijawahi kulazwa kabisa toka nizaliwe (Kitanda cha hospitali nimelala nikiwa mtoto na wakati nikiuguza wngine) na huwa kila siku iendayo kwa Mungu namuomba niendelee kuwa na afya njema
Asante kaka,Hongera na wewe pia tuzidi kumshukuru mwenyezi Mungu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom