Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

Kelela

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2020
Posts
200
Reaction score
333
Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako.

Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza.

Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments (Uwekezaji) hapa namaanisha assets ambazo zinaweza kunizalishia pesa zaidi.

Nilipiga tathmini ya mwaka 2019, 2020, 2021 Aisee kumbe karibu kila mwaka ninadouble uwekezaji, hii imenipa hamasa sana ya namna ya kuendelea mwaka 2022 kwa kuwekeza pesa nyingi zaidi.

Ushauri: Fanya tathmini ili kuona kama unapiga hatua za kwenda mbele au kurudi nyuma.
 
Mi nineoa mke wa nne every thing is double double
 
2021 I have done a huge investment. Am so proud of my self mwakani Nita reinvest return nitazoanza pokea

Sitokula hata sumni and I won’t regreat about it!!
 
Back
Top Bottom