Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.
ok ni iv;
daily mara 3
kila tendo na mtu mpya
kwa mwaka ntakuwa nimefanya na wangap?mara ngap?
danger ya maambukizo?
Duh! Kutwa mara3,vipi inafanyika muda gan?
Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.
saa 12 asubuhi
saa 6 mchana
saa 12 jion.
jumamos na jumapili;
11 alfajiri
4 asbh afta tea
10 afta day slp
4 usiku b4 slpng
ASANTEN
saa 12 asubuhi
saa 6 mchana
saa 12 jion.
jumamos na jumapili;
11 alfajiri
4 asbh afta tea
10 afta day slp
4 usiku b4 slpng
ASANTEN
Duh utakua mchakachuaji wa mwaka wewe,makofi kwakook ni iv;
daily mara 3
kila tendo na mtu mpya
kwa mwaka ntakuwa nimefanya na wangap?mara ngap?
danger ya maambukizo?
Itaoza shauri yako!!Afu the frequency of doing is direct proportional to the beauty!!Dah nilisahau nashukuru kwa kunikumbusha!!! nanihii ipo likizo hivyo sijafanya na wala sijawahi fanya na SITARAJII KUFANYA!!!!
ASENTE MAKOFI KWA MARIA:whoo::whoo::whoo:
Kwa wiki mara mbili au tatu tegemea na vionjo hivyo tatu mara nne kisha mara 12 inatupa idadi ya 144 kwa mwaka.Teh teh teh! Hebu toa orodha yako kwanza ili 2one ulivochakachua!
Issue nyingine ni nyeti sana sidhan kama utapata takwimu sahihi hapa!
Wengine wapo kwenye ndoa huwezi kuweka mambo hadharani unado mara ngapi na mkeo!!
Duh utakua mchakachuaji wa mwaka wewe,makofi kwako
Duh utakua mchakachuaji wa mwaka wewe,makofi kwako
Rose bwana ahahahahah halafu umesema unakipiga na mtu mpya kila tendo . . . lazima utakuwa umeshakutana na mkono wa sweta