Kwa Wasio na Wake/Wanaume Tu: Hadi Kufikia hapa mwaka huu umefanya mapenzi mara ngapi na watu wangapi?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Habari wakuu, Mwaka ndio tunakaribia kuumaliza japo bado ila lazima tuseme tumepiga hatua kubwa hadi hapa.

Ndani ya Mwaka huu najua ulikuwa na malengo yako ila lazima kama binadamu uliekamilika lazima uwe ulikuwa unapata muda wa kupunguza uzito kidogo.

Je ni mara ngapi umefanya sex mwaka huu na watu wangapi umefanya nao?
 
Habari wakuu Mwaka ndio tuna karibia kuumaliza japo bado ila lazima tuseme tumepiga hatua kubwa hadi hapa.

Ndani ya Mwaka huu najua ulikua na malengo yako ila lazima kama binadamu uliekamilika lazima uwe ulikua unapata Mda wa kupunguza uzito kidogo.

Je ni Mara ngapi umefanya sex mwaka huu na watu wangapi umefanya nao?
Mara 3 kwa watu wa3
 
Habari wakuu, Mwaka ndio tunakaribia kuumaliza japo bado ila lazima tuseme tumepiga hatua kubwa hadi hapa.

Ndani ya Mwaka huu najua ulikuwa na malengo yako ila lazima kama binadamu uliekamilika lazima uwe ulikuwa unapata muda wa kupunguza uzito kidogo.

Je ni mara ngapi umefanya sex mwaka huu na watu wangapi umefanya nao?
Hauwezi kuupata ukweli kutokana na choyo ya kibinadamu linapokuja suala zima la mapenzi hasa hasa ngono uzembe!

Hapo utasikia uongo uongo mwingiii na blah blah zisizo na kichwa wala miguu.

Ngono ni anasa na ni sanaa ambayo mnufaika huwa hapendi kusikia kuna mtu mwingine ni bingwa kumzidi yeye kwa kupendwa ama kwa "ufungaji wa magoli ya wazi".

Na wengine ni wanyama tena ni wanyama mwitu kabisa linapokuja suala hilo, huirudia baiolojia ilivyowaelekeza kuwa wao ni mamalia wasiokuwa na chembe ya ustaarabu, uvumilivu, staha, upendo ama huruma hata chembe.

Mi mwenyewe nakumbuka kipindi niko member katika baraza la usuluhishi wa ndoa.

Ebana'eeh, ilikuwa linapoletwa suala la ugoni ama fumanizi mezani, kwa kusukumwa na hisia ya unafiki na wivu, nilikuwa ninafurahi sana kusikiliza.

Nilikuwa nang'ang'aniza ama kulazimisha
kutajiwa hadi idadi ya mabao waliyofunga hao mabazazi ili eti tuweze kuona namna ya kuwapatanisha!

Nikidai kuwa unapoungama kwa kusema ukweli wote, huwa ndiyo suluhu yanyewe hiyo.

Sasa tatizo likawa pale wengine wanapoamua kufunguka ukweli mtupu, ilikuwa ikiniuma hadi kupelekea nikakoma kuuliza maswali ya kipuuzi namna hiyo tena.

Maana majibu mengine yalikuwa yananiumiza mimi niliyeuliza kuliko hata aliyetendwa!

Mf; nilikuwa ninauliza: "katika fumanizi hili, mlikuwa mmekwisha kufanya mapenzi tayari ama mlikuwa bado?"

Jibu likiwa: "tayari tulikuwa tumefanya", hapo ninakuwa nimevurugwa kabisa na kuanza kuona gere na kujisemea moyoni kwa chuki: "yaani huyu mshenzi aipiga bao zote hizo kabisa yaani"!

Hapo sasa nachanganyikiwa kabisa na kuuliza swali jingine lenye mrengo wa chuki: " sasa mlirudia mara ngapi, yaani kwa siku hiyo hiyo hiyo?

Majibu ya swali hilo yanatakiwa yawe negative ili roho hapo ifurahi kutokana na inavyokuwepo kwenye ushindani wa kutafuta ubingwa wa nafsi.

Akijibu idadi kubwa ya bao alizofunga kwa kunizidi mimi ninazofunga, huyo anakuwa kaniudhi sana, ninaanza kubishana mwenyewe nafsini: "huyu ni muongo, hawezi kupachika bao zote hizo kwa muda mfupi ivi, huyu mzushi tu"!

Umeona mfano huo?

Binadamu mambo hayo hawezi kukwambia kwa hiari yake npaka umpatie angle ya kumlazimisha kuusema ukweli wake wote.

Na unayeuliza, huwa saazingine ukipewa majibu yenye ukweli unabakia kustaajabia mambo ya watu kutokana na kupata majibu yanayodhalilisha uwezo wako dhaifu wa kufanya mapenzi!
 
Back
Top Bottom