Mwaka unaisha:je hivi mwaka huu umefanya tendo la ndoa mara ngapi?

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.
 
Sioni haja ya watu kuweka mambo yao binafsi na ya undani kama hayo. Wewe ni mtu mzima na ukiamua kungonoka na mtu mwingine basi jikinge kwa kuchukua tahadhari na ukifanya hivyo utakuwa umepunguza kasi ya maambukizi. Wajibika!
 
ok ni iv;
daily mara 3
kila tendo na mtu mpya
kwa mwaka ntakuwa nimefanya na wangap?mara ngap?
danger ya maambukizo?
 
Teh teh teh! Hebu toa orodha yako kwanza ili 2one ulivochakachua!
Issue nyingine ni nyeti sana sidhan kama utapata takwimu sahihi hapa!
Wengine wapo kwenye ndoa huwezi kuweka mambo hadharani unado mara ngapi na mkeo!!

Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.
 
Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.

Mh hii kali nitarudi baadae kidogo maswala ya hesabu haya.:teeth:. ha ha haa aa
 
Swali lako huenda ni zuri kwa wengine.
Lakini ningekushauri labda ungeliweka katika namna ambayo anayelipenda asitishike!
Tenganisha mara mbili, Kufanya mara ngapi na aina ya watu uluiofanya nao, na sehemu nyingine iwe hiyo ya mambo ya ma'Ukimwi na protections...Ukichanganya vyote pamoja ni kama uji kwa mlenda, tegemea responce ndogo(kwa uzoefu), maana kuna tabia ya watu kuepuka maongezi ya ukimwi, wakati ishu za NGONO na ngono-zembe ndiyo sala ya majamvi karibia yote.!
 
saa 12 asubuhi
saa 6 mchana
saa 12 jion.
jumamos na jumapili;
11 alfajiri
4 asbh afta tea
10 afta day slp
4 usiku b4 slpng
ASANTEN

Rose bwana ahahahahah halafu umesema unakipiga na mtu mpya kila tendo . . . lazima utakuwa umeshakutana na mkono wa sweta
 
Dah nilisahau nashukuru kwa kunikumbusha!!! nanihii ipo likizo hivyo sijafanya na wala sijawahi fanya na SITARAJII KUFANYA!!!!

ASENTE MAKOFI KWA MARIA:whoo::whoo::whoo:
 
Itaoza shauri yako!!Afu the frequency of doing is direct proportional to the beauty!!
 
Teh teh teh! Hebu toa orodha yako kwanza ili 2one ulivochakachua!
Issue nyingine ni nyeti sana sidhan kama utapata takwimu sahihi hapa!
Wengine wapo kwenye ndoa huwezi kuweka mambo hadharani unado mara ngapi na mkeo!!
Kwa wiki mara mbili au tatu tegemea na vionjo hivyo tatu mara nne kisha mara 12 inatupa idadi ya 144 kwa mwaka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom