Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 46
Members,pamoja na kujiuliza na kutathmini mafanikio ya kiuchumi tuliyofanya mwaka huu 2010,tukija kwenye masuala ya kuta nne yaani kuchakachua je wewe umefanya tendo hili la ndoa mara ngapi kwa mwaka huu mzima?Je kwa siku, wiki,mwezi na hata mwaka mzima idadi yake inafika kiasi gani?
Tupeni takwimu tufanye tathmini hapa ni jinsi gani maambukizo yanaweza kufanyika kwa kasi.
Na mara ngapi ulitumia kinga,je wote uliotembea nao ni wenzi wako wa maisha au wengine umeokoteza barabarani
Toa orodha yako.