Davety
Member
- Dec 14, 2018
- 76
- 70
Vijana wenzangu binafsi mwaka unaisha hivyo lakini maisha kwangu ni magumu tu sana yani.
Kiukweli napambana najitahidi kubana matumizi lakini kamshahara nakopata pamoja na vipesa vidogo vidogo navyopata kutokana na shughuri za ujasiriamali zinaishia kwenye misosi na kujenga kapangara kangu tu.
Nakomaa mpaka mwisho lakini wapi naishia kujibana mpaka sasa naishi kama masikini hii apana.
Natamani kuwa na gari nzuri familia nzuri mtoto mkali ndani miradi lakini haiwezekani.
Sipendi uzeeni ndyo nimiliki gari na kanyumba sijui kakupangisha huo ujinga sitaki lakini kwa maisha haya yanavyoenda kila mwaka ukipinduka hali ndyo inazidi kuwa ngumu kutoboa inakuwa ngumu zaidi kwangu.
Nakomaa mpaka msuri unakatika lakini wapi ase kutoboa life bado ni ndoto.
Vijana wenzangu tufanye nini ili tutoboe mwaka ujao?
Sent using Jamii Forums mobile app