mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Eti mimi si ndio kaka yenu bana, kwahiyo ni lazima niwaulize.
Kama wewe ni mdada, mwaka ndio huo unaisha una mipango gani juu ya kuolewa? maana siku zinavyozidi kwenda na umri unazidi kusogea? (wale wanachuo au wanafunzi haiwahusu nyie someni kwanza mmalize)
Kama wewe ni kaka una mipango gani ya kuoa maana na wewe umri wa kuoa umeshafika una kila kitu. umejiajiri, kuajiriwa, kipato kizuri, mshahara mzuri, biashara zako zinaendelea vizuri kwa ufupi maisha ni mazuri.
sasa unasubiri nini? au unataka mpaka upigiwe kengele?( hapa wale wenye kukaa home au chumba kimoja na sitting room haiwahusu ninyi jipangeni kwanza)
eenhe!! sasa niambieni kaka yenu mmipango yenu juu ya hilo jambo. NAWASIKILIZA!!!