Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
- Thread starter
- #41
kujua hali yake lol
Kaka,
Naogopa sana Ma-Ex kama ukoma.
Unajua, naamini wanaume wote wanaikubali hii principle,
"Mahawara huwa hawaachani, wanatengana tu"
Nimemkumbuka dada mmoja ambaye alinifanyia mchezo mchafu ila sitamsahau..
Nilikuwa Form 2, na huyo dada alikuwa family friend. Siku moja tukajikuta tuko peke yetu, akanikamata chap chap na kunipa French kiss. Bahati mbaya (may be nzuri), hatukupata nafasi ya kusonga mbele zaidi ya hapo!!!....Kidogo nitangaze kuacha shule aisee!!
Tulikuwa njiani kurudi shule na wakati wa likizo iliyofuata sikumkuta home. Sijawahi kumwona hadi leo..
Huwa sijui itatokea nini endapo tukionana leo...I would rather not see her again because her memory has caused me a big damage!!