Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

kujua hali yake lol

Kaka,

Naogopa sana Ma-Ex kama ukoma.

Unajua, naamini wanaume wote wanaikubali hii principle,

"Mahawara huwa hawaachani, wanatengana tu"

Nimemkumbuka dada mmoja ambaye alinifanyia mchezo mchafu ila sitamsahau..

Nilikuwa Form 2, na huyo dada alikuwa family friend. Siku moja tukajikuta tuko peke yetu, akanikamata chap chap na kunipa French kiss. Bahati mbaya (may be nzuri), hatukupata nafasi ya kusonga mbele zaidi ya hapo!!!....Kidogo nitangaze kuacha shule aisee!!

Tulikuwa njiani kurudi shule na wakati wa likizo iliyofuata sikumkuta home. Sijawahi kumwona hadi leo..

Huwa sijui itatokea nini endapo tukionana leo...I would rather not see her again because her memory has caused me a big damage!!
 
Lizzy,

Hizi ndoa ni ngumu sana....Tusiziogope na tusaidiane kuziimarisha,

Ndiyo ujumbe wangu kwa mwaka 2012!!

Babu DC!

pamoja na ugumu tutashinda mpwa
2012 naona talaka zikipeperuka nje ya nyumba za wana jf ...wanaoziitaji watakuwa wamezitaka wenyewe unajuakuna dhambi shetani anainghia na wewe mpaka gurst ukifungua mlango anakuagha sasa mtu akifikia stage hiyo shetan kamkimbi si mimi KIM DIDY WALA LIZZY WALA DC TUTAKAEMPONYA ATAJIPONYA MWENYEWE
KILA LA KHERI WANA NDOA NATUMAINI UJUMBE WA DC UMEKAMILISHA MADA ZOTE ZA NDOA TULIZOZILETA NA KUCHANGIA JF
 
Kaka,

Naogopa sana Ma-Ex kama ukoma.

Unajua, naamini wanaume wote wanaikubali hii principle,

Nimemkumbuka dada mmoja ambaye alinifanyia mchezo mchafu ila sitamsahau..

Nilikuwa Form 2, na huyo dada alikuwa family friend. Siku moja tukajikuta tuko peke yetu, akanikamata chap chap na kunipa French kiss. Bahati mbaya (may be nzuri), hatukupata nafasi ya kusonga mbele zaidi ya hapo!!!....Kidogo nitangaze kuacha shule aisee!!

Tulikuwa njiani kurudi shule na wakati wa likizo iliyofuata sikumkuta home. Sijawahi kumwona hadi leo..

Huwa sijui itatokea nini endapo tukionana leo...I would rather not see her again because her memory has caused me a big damage!!

pole saana umenikumbusha filam ya 'indecent proposal'
kuna hadithi inafanana na kwako
kuna billionaire alikuwa anashindwa kusahau mwanamke aliemuona utotoni
kwenye stesheni ya treni,alikuwa ka fall ghafla na akashindwa hata kuongea lolote
na kubaki amezubaa na kumuangalia tu.treni ilipoanza kuondoka huyo mwanamke
akamtazama huyo jamaa kwa tabasamu la kama anasema i like you too....huku treni inaondoka
jama akajikuta kila siku anarudi stesheni kutazama labda atamuona tena lakini wapi.hadi anazeeka hasahau...
 
Lizzy,

Unawekeza sana kwenye game hadi team inashindwa kukulipa mshahara...Siyo kila timu inaweza kumlipa Messi au Ronaldo!!

Anyway,

Naamini Mbu atakutendea haki!!

Mhhh. . babu mbona umeniacha solemba?
Kwahiyo natakiwa nitafute wafadhili wengine au?
 
pamoja na ugumu tutashinda mpwa
2012 naona talaka zikipeperuka nje ya nyumba za wana jf ...wanaoziitaji watakuwa wamezitaka wenyewe unajuakuna dhambi shetani anainghia na wewe mpaka gurst ukifungua mlango anakuagha sasa mtu akifikia stage hiyo shetan kamkimbi si mimi KIM DIDY WALA LIZZY WALA DC TUTAKAEMPONYA ATAJIPONYA MWENYEWE
KILA LA KHERI WANA NDOA NATUMAINI UJUMBE WA DC UMEKAMILISHA MADA ZOTE ZA NDOA TULIZOZILETA NA KUCHANGIA JF

Ahsante mkuu,

Kuna jamaa wanasema hivi,

"In an emergency, any of your action can save life".......

Tusisite kuchukua hatua kwa wale ambao ndoa zao siko ICU bado zinasubiri ambulance!!

Ahsante kwa mchango wako na heri ya mwaka mpya kwako na uwapendao pia!
 
...hapa mzee mwenzangu babu DC atanisaidia...maana naye yumo kwenye kuweka msisitizo wa haya ili kunusuru
majanga kwa kizazi hiki cha dot.com, ama sivyo ndio tunaangamia hivyo...

....tulisema turudi kwenye miongozo iliyobainishwa kwenye maandiko ya kiimani, kule tushapewa A-Z jinsi mke na mume wanavyopaswa kuishi ndani ya nyumba na kuzilea familia,....lakini maisha hayo pia yanategemeana na mabadiliko ya mila, desturi na tamaduni ya jamii inayokuzunguka.

...vijana wa kileo ukiwaambia hayo wanakwambia umepitwa na wakati,...unaleta mambo ya kizamani.
Tukasema fine, je...muongozo unaokubalika ndio huu uliotokana na maazimio ya Beijing kina mama kudai haki zao zinazopingana kwa kiasi kikubwa na maandiko, mila na desturi za mababu?....

....magwiji niliowataja awali kila mmoja akaja na uchambuzi wake jinsi tafsiri hiyo ya haki za wanawake ilivyopokelewa na kutumiwa vibaya na baadhi ya makundi ya wanawake waliokuwa na hasira na ndoa zao....

Magwiji hawa wa jamiiforum hawakuishia hapo, wakaendelea kuandika ili ndoa zidumu, nafasi ya mwanamke katika ndoa na familia iendelee kama mafundisho, mila na tmaduni zilivyotutaka. Mie na Excellent maskini ya mungu tukabaki kibarazani tunapiga soga baada ya hawa wazee kwenda kulala,

...ghafla bin vuu Lizzy ukaja tukurupusha na tofali ati tunatetea mila za ukandamizaji...hapana bana....maandiko yaliona mbali dear....lol..
Hahahaha. . . .
Mbu bana. Hata hivyo ngoja nijizuie kuchakachua thread ya babu DC kwa kusema kwamba nimekusoma. Tutajitahidi kuchukua yale mazuri ya zamani tuchanganye na mazuri ya kileo ili ndoa zidumu kama babu DC anavyotaka. Tusing'ang'anie kipindi kimoja tu maana lazima kuna mmoja ataona hatendewi haki!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
pole saana umenikumbusha filam ya 'indecent proposal'
kuna hadithi inafanana na kwako
kuna billionaire alikuwa anashindwa kusahau mwanamke aliemuona utotoni
kwenye stesheni ya treni,alikuwa ka fall ghafla na akashindwa hata kuongea lolote
na kubaki amezubaa na kumuangalia tu.treni ilipoanza kuondoka huyo mwanamke
akamtazama huyo jamaa kwa tabasamu la kama anasema i like you too....huku treni inaondoka
jama akajikuta kila siku anarudi stesheni kutazama labda atamuona tena lakini wapi.hadi anazeeka hasahau...

Kweli kamanda, lazima jamaa aendelee kujaribu bahati yake!!

Ndo maana nikasema, wazee wetu walio wengi walianzia haya mambo kwenye ndoa...Hawakuwa na mizimu inayowatafuna kila kukicha!! They had nobody to compare their spouses with...Hata walipoanza kutoka kwenye ndoa, walijikuwa wanatumia mume au mke kama SI unit (reference point)!!!!......I think that was big credit...and above all, they made sure their spouses were always number one and next to none!

Ila sasa hivi unakuta kijana ana watu kibao kama queue ya kwenye ATM za NMB, .....
Inakuwaje anapoanza kukumbuka jinsi X, Y Z alivyokuwa mcheshi, mtaalamu wa hiki na kile?? I believe we do have new problem to deal with, tunahitaji kusaidiana hapa ndugu zangu!!
 
Mhhh. . babu mbona umeniacha solemba?
Kwahiyo natakiwa nitafute wafadhili wengine au?

I meant,

Hata ukiwa kwenye highway, wakati mwingine unaweza kujikuta unatakiwa kuendesha mdogo mdogo ili usiwaache wenzako!!

Au ule mfano wa Mbatia aliyemshaurii mgombea uraisi wa chama chao 2010 kwamba,

"hawa ndugu zetu wa CCM ni wnezetu, kwa hiyo usiwaseme sana ukiwa jukwaani, nenda nao taratibu taratibu"

Umenielewa??
 
Hahahaha. . . .
Mbu bana. Hata hivyo ngoja nijizuie kuchakachua thread ya babu DC kwa kusema kwamba nimekusoma. Tutajitahidi kuchukua yale mazuri ya zamani tuchanganye na mazuri ya kileo ili ndoa zidumu kama babu DC anavyotaka. Tusing'ang'anie kipindi kimoja tu maana lazima kuna mmoja ataona hatendewi haki!!

Perfect,

Ndiyo maana nikashauri kuwa tunahitaji a RAINBOW system ili tuweze kuhandle ndoa zetu na kupunguza idadi ya majeruhi!!
 
I meant,

Hata ukiwa kwenye highway, wakati mwingine unaweza kujikuta unatakiwa kuendesha mdogo mdogo ili usiwaache wenzako!!

Au ule mfano wa Mbatia aliyemshaurii mgombea uraisi wa chama chao 2010 kwamba,

Umenielewa??

Hahahaha. . . Kumbe!!
Alright. . . . NAAHIDI NTAJITAHIDI KADIRI YA UWEZO WANGU.

Ila babu unajua kwamba wakati mwingine unaweza ukawa tayari kumchukulia mtu taratibu ila yeye akafanya hilo zoezi liwe gumu sana?
 
Hahahaha. . . .
Mbu bana. Hata hivyo ngoja nijizuie kuchakachua thread ya babu DC kwa kusema kwamba nimekusoma. Tutajitahidi kuchukua yale mazuri ya zamani tuchanganye na mazuri ya kileo ili ndoa zidumu kama babu DC anavyotaka. Tusing'ang'anie kipindi kimoja tu maana lazima kuna mmoja ataona hatendewi haki!!

lol...mwanzo mzuri huu, ngoja nizime taa nibakize mishumaa mpaka 2011 umalizike...
angalau umekubali kimkorogo mkorogo tutafika huko tunakokusudia kwenda kwenye haya manusura ya ndoa..

Kweli kamanda, lazima jamaa aendelee kujaribu bahati yake!!

Ndo maana nikasema, wazee wetu walio wengi walianzia haya mambo kwenye ndoa...Hawakuwa na mizimu inayowatafuna kila kukicha!! They had nobody to compare their spouses with...Hata walipoanza kutoka kwenye ndoa, walijikuwa wanatumia mume au mke kama SI unit (reference point)!!!!......I think that was big credit...and above all, they made sure their spouses were always number one and next to none!

Ila sasa hivi unakuta kijana ana watu kibao kama queue ya kwenye ATM za NMB, .....
Inakuwaje anapoanza kukumbuka jinsi X, Y Z alivyokuwa mcheshi, mtaalamu wa hiki na kile?? I believe we do have new problem to deal with, tunahitaji kusaidiana hapa ndugu zangu!!

...yaani unayoyaandika ni juu ya mstari, hapa mwenyewe huwa najiuliza;
hivi ningeoana na yule niliyeanzana naye, ningeendelea kushangaa shangaa
haya mapishi mbali mbali? I doubt, kwanza ningekuwa na kinyaa....lol.,

aisee acheni kabisa...Mwalimu alisema,
"ukishaanza kula nyama ya mtu huachi....!"
 
Hahahaha. . . Kumbe!!
Alright. . . . NAAHIDI NTAJITAHIDI KADIRI YA UWEZO WANGU.

Ila babu unajua kwamba wakati mwingine unaweza ukawa tayari kumchukulia mtu taratibu ila yeye akafanya hilo zoezi liwe gumu sana?

Simple Lizzy,

Kwa vyovyote vile katika maisha, lazima ukubali,

Kuliwa ili na wewe ule.....JK
 
lol...mwanzo mzuri huu, ngoja nizime taa nibakize mishumaa mpaka 2011 umalizike...
angalau umekubali kimkorogo mkorogo tutafika huko tunakokusudia kwenda kwenye haya manusura ya ndoa..

...yaani unayoyaandika ni juu ya mstari, hapa mwenyewe huwa najiuliza;
hivi ningeoana na yule niliyeanzana naye, ningeendelea kushangaa shangaa
haya mapishi mbali mbali? I doubt, kwanza ningekuwa na kinyaa....lol.,

aisee acheni kabisa...Mwalimu alisema,
"ukishaanza kula nyama ya mtu huachi....!"

Sasa kaka,

Tunafaje ili kudeal na hayo mawenge wenge vichwani mwetu???

Babu DC!!
 
Mbu muhimu ni kuridhika.
Wapo walionzana baada ya ndoa na wakaishia kutoka kwa kusikia haya na yale.Kama wewe sio mtu wa kuridhika siku ukisikia mtu anasifia kitu ulichozoea wewe kwa namna ambayo ni tofauti utataka tu kuonja na wewe uone mbwembwe zote ni za nini.
 
...aisee ni ngumu bana, maana hakweshi ku compare....! ile ilikuwa hivi, yule alikuwa hivi....
mwenye milk of amnesia anisaidie jamani nipate kunusuru ndoa..nasikia inafuta kumbukumbu zote ile.
....i promise sitainywa kama chai kama alivyofanya maiko jaksoni...
 
Mbu muhimu ni kuridhika.
Wapo walionzana baada ya ndoa na wakaishia kutoka kwa kusikia haya na yale.Kama wewe sio mtu wa kuridhika siku ukisikia mtu anasifia kitu ulichozoea wewe kwa namna ambayo ni tofauti utataka tu kuonja na wewe uone mbwembwe zote ni za nini.

Kweli kabisa Lizzy,

Kwani hata ukiamua na uwezo unao, utawaonja/njwa wangapi?
 
Back
Top Bottom