Kidogo tu unikute nazini! ila namshukuru mungu demu alishindwa kutoka kwao!Heri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k
Hebu share na sisi hapa tujue na kupata experience ya namna ulivyoupokea mwaka mpya 2025.
Mimi binafsi nimeupokea mwaka nikiwa kazini. Nilikuwa kwenye machine hii hapa chini niki load mzigo kwenye trucks katika harakati za uzalishaji.View attachment 3189823
Nawatakia kila la kheri kwenye huu mwaka unaonza leo. Ukawe wa mafanikio kwa kila mmoja wetu.
Maghayo Dr Lizzy Ghayo TheMongo Barbarian Deeboyfrexh mshamba_hachekwi Lamomy ephen_ min -me Fake P Leejay49 Evelyn Salt
Mideko Mamndenyi Mshana Jr Kiranga mzabzab
Joanah Joannah To yeye Nikifa MkeWangu Asiolewe BlueIvy Hannah monde arabe nzalendo makaveli10 Kasie Darlin Carleen Inside10
Na mtambo nilisha utest...πClassmate natumaini unaendelea poa na sasa ume recover fully
Kama ubungo RiversideLazima ujue kutarget location nzuri hasa kulenga maeneo yenye possibility kubwa ya kuwepo na kukulana π€£
Kuna janga lilinipata nikiwa form 2, 1999 tukiwa kwenye harakati za kuhama viwanja kusherekea Mwaka mpya...nilioata funzo la kutulia kbs kwenye sherehe za mfananowa kukesha!Heri ya mwaka mpya 2025.
Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k
Hebu share na sisi hapa tujue na kupata experience ya namna ulivyoupokea mwaka mpya 2025.
Mimi binafsi nimeupokea mwaka nikiwa kazini. Nilikuwa kwenye machine hii hapa chini niki load mzigo kwenye trucks katika harakati za uzalishaji.View attachment 3189823
Nawatakia kila la kheri kwenye huu mwaka unaonza leo. Ukawe wa mafanikio kwa kila mmoja wetu.
Maghayo Dr Lizzy Ghayo TheMongo Barbarian Deeboyfrexh mshamba_hachekwi Lamomy ephen_ min -me Fake P Leejay49 Evelyn Salt
Mideko Mamndenyi Mshana Jr Kiranga mzabzab
Joanah Joannah To yeye Nikifa MkeWangu Asiolewe BlueIvy Hannah monde arabe nzalendo makaveli10 Kasie Darlin Carleen Inside10
Nilikua nimelala fofofo sijitambui kabisa nimeamka saa 4 asubuhi nimelala saa 5 usikuHebu share na sisi hapa tujue
Vijana Hawa Wana mchango Mdogo sana Kwa Taifa alisikika bwana JIWEπ€£
Fungulia uzi komredi tupate kujifunzaKuna janga lilinipata nikiwa form 2, 1999 tukiwa kwenye harakati za kuhama viwanja kusherekea Mwaka mpya...nilioata funzo la kutulia kbs kwenye sherehe za mfananowa kukesha!
Tulipata ajali ya gari washikaji wawili wa mtaani walifariki, mm nilivunjika collar borne ya mkono wa kulia, wengine waliugulia miezi kukaa sawa. Wazazi walisikitika sana kwa sababu kwanza ilikuwa kama tulitoroka huo usiku!Fungulia uzi komredi tupate kujifunza
Hizi c ndo zinawafanya vijana wawe km wehu, Lol
Jamaa yangu anasema Kuna siku alikunywa hivyo visungura viwili akahisi kama kichwa kimetengana na mwili maana sio kwa kulewa kule πHizi c ndo zinawafanya vijana wawe km wehu, Lol
Wanakua km mazezeta vilee.Jamaa yangu anasema Kuna siku alikunywa hivyo visungura viwili akahisi kama kichwa kimetengana na mwili maana sio kwa kulewa kule π
Ni hatari sana halafu si salama hata!!Wanakua km mazezeta vilee.
πππππ