Mwaka mmoja tu mtaani nimeshakuwa frustrated kiasi hiki, dah!

Mkuu hapo rekebisha CV vizuri, mwombe Mungu huku unaendelea kuzuka kupambania ndoto yako. Hapo unapotaka kuacha kazi ndo ipo jirani kuipata, endelea kupambana usipate frustration yoyote. Mafanikio ni mchakato!
 
Daah mkuu pole sana ....sasa yule wa miaka 5 atakuaje imagine ....na unakuta hajafunguka kimawazo zaid ana hope tu na kuajiriwa na sio kujiajiri...dah alaf mtu anasema eti anakuja kwang kunikagua kua kama sifany kaz yoyote na huku umesitisha ajira nchi nzima ...blad faken nimuone mtu
 
Ulichokisomea sicho mungu alichokukusudia ukifanye. Badili mwelekeo ingia ktk ujasiliamali wa kujiajiri
 
Ili uweze kujua nini unapaswa kujaza hapo kwenye vitu ulivyokua unafanya i.e. field tafuta. job description ya kazi inayofanana na uliofanya modify weka kwenye CV yako...hawa ndo wasomi halafu wanalalamika hawaitwi kazini.....na si ajabu cover letter yako haiwezi hata kuimpress mty aku shortlist....
 
Pole kaka,. Nadhani umefocus zaidi kwenye ajira ndiyo maana mwaka mmoja tu ume be frustrated,. Lazima ujifunze kuwa flexible katika maisha yako. Hakuna asiye penda ajira ila kwa hali ya sasa kiajira, unapaswa ufocus zaidi ya ulichoshika. Fanya kazi zingine za kukujenga kiuchumi hasa umesoma entrepreneurship, sasa jifunze na anza kujiajiri. Km ni mashambani nenda, km ni biashara ndogo ndogo fanya huku ukiendelea kusambaza cv yako, possibly kuna sehemu utawin. Ukikosa kazi ya kuajiriwa huku ulijibidiisha kwenye biashara nadhani utakuwa umekuza mtaji na unaweza usitamani kuajiriwa tena ukafanya biashara zako tu. Ukipata ajira on time, basi itakuwa salama yako. Hakuna asiyependa kuajiriwa lakini lazima ucheze na nyakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom