kwisha kazi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 690
- 321
Umesahau jambo moja tu kuhusu CCM kwamba ndicho chama tawala ktk nchi hii ya Tanzania hadi uchaguzi ujao.Hiyo ndiyo kawaida yenu anayesema ukweli ni mnywa viroba,lkn ukweli mnaujua kuwa ccm sasa imebakia lumumba tu
So?!Mlishasema kuwa hamuwezi kuikabidhi nchi kwa matokeo ya karatasi
Hahahaha UWONGOWana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
wembe ni ule ule...upinzani lazima wanyooke!Kati ya mbinu za ushindi 1000 ilizonazo CCM ni mbinu 1 tu iliyotumika tokea 1995.Kwa hiyo jipe jawabu mwenyewe.
We ndio lofa kweli! Tanzania upinzani ulishakufa tangu Dr Slaa alipoondoka!! Labda huko kwenu "Nsumbiji"Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Kuna mdau alikuwa anaisifia ccm kuwa imeimarika na ukawa wameisha......
......hali halisi
Propaganda uchwara tumeshazizoeaKati ya mbinu za ushindi 1000 ilizonazo CCM ni mbinu 1 tu iliyotumika tokea 1995.Kwa hiyo jipe jawabu mwenyewe.
Akili ile ile ya zidumu fikra sahihi za mwenyekitiTatizo ni kwamba hakuna chama mbadala. Ikiondoka CCM chama gani kitatawala? Kutakuwa na ombwe la uongozi na nchi itaingia katika misukosuko. Watanzania siyo wajinga. Wakiona chama mbadala bila shaka watakipa madaraka mara moja. Tuweni na subira!
Mtani naona unaandika bila break.Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
Unataka kuniambia kuwa hata vibovu tuwe tunawe tunasifia bila kujali madhara yakeAnaogopa kusema ukweli kwani anaweza kufukuzwa uanachama
Siku hizi kuna mwingine ana uaraza.Hilo hakuna asiyelijua hata lubuvaa analijua