Ndio maana viroba vinapigwa vita.Umekunywa vingapi ?!Wana jamvi heri ya X-MASS,huku tukiwa tunasherehekea mwaka mmoja wa serikali mpya madarakani hali ya ccm inazidi kudhoofu na huku ikikizidi kupoteza mvuto na wafuasi wengi na upinzani ukizidi kujiimarisha kisayansi zaidi.nawashauri wana ccm wana endelea kuugulia maumivu tumboni wahamie upinzani tu kwani kuhama chama hutakiwi kumuaga mjumbe wa nyumba kumi wala haubebi masanduku
.....Nikutimka kimya kimya kama baadhi ya wana ccm wengi wanavyo ikimbia
......Huu ni utafiti ?
Kati ya mbinu za ushindi 1000 ilizonazo CCM ni mbinu 1 tu iliyotumika tokea 1995.Kwa hiyo jipe jawabu mwenyewe.tutawachapa kwenye uchaguzi mdogo,halafu tuwanyooshe 2019 na 2020 tuwazike kabisa!
sie vitendo tu,blah blah tumewaachia nyie!