sitapiga kura, haitakuwa na maana kwa vile kuna wizi wa kura na hivyo haitakwenda kwa mlengwa wangu, ndiyo sera ya serikali kuiba kuraKwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
Utapiga kura ya nini wakati chama nni kimoja na marafiki zao .yaani uache kazi zako kabisa useme unaenda kumchagua kiongozi ,ambaye umpigie ameshapita usimpigie ameshapita.sitapiga kura, haitakuwa na maana kwa vile kuna wizi wa kura na hivyo haitakwenda kwa mlengwa wangu, ndiyo sera ya serikali kuiba kura
Kura haina maana upige ama usipige mshindi anajulikana.Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
kura sipigiKwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
100% Nitapiga kuraKwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?