PreGE2025 Mwaka huu utapiga kura?

PreGE2025 Mwaka huu utapiga kura?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
LISSU na HECHE ndio hawatopiga lakini sisi sote tutapiga kura kama kawaida.
 
Mwaka huu hakuna uchaguzi, kwahiyo hakuna mtanzania atakayepiga kura. Hujaisikia kampeni ya NO REFORMS NO ELECTION?
huo ujinga wa lissu ndiyo utufanye tusipige kura kweli are you serious?
 
Kwani wana haja na tone tone za kura wao wana kura zao za kumimina na mabegi. Haina haja ya kupiga kura moja moja. Sipigi kura mimi
 
Kwanza uwe na uhakika wa kufika hiyo siku, maana hajulikani police watambeba nani siku ya leo na kesho na kumpoteza kama mdude na wengine

Pili, hata ukifika uwe na uhakika, kura yako itahesabiwa CCM hata kama ulimpigia mpinzani

Sasa hayo ya nini? Si ujikalie nyumbani na watoto wako mkuu
 
Siwezi kufanya huo upumbavu, kupiga kura Tanzania ni matumizi mabaya ya akili na muda
 
Kodi za Wafanya Biashara zinaenda kutumika vibaya sana maana raisi anajulikana, wabunge wanajulikana na Madiwani wanajulikana lkn billions of money zinaenda kuteketea bureee kabisa.
 
Jimbo ninaloishi CCM hawajawahi kushinda, lakini pia hawajawahi kushindwa. Ikiwa nimekua nikipiga miaka yote ya nyuma kwa kujua CCM hawashindi ila wanachukua kwanini mwaka huu niache? Kupiga kura ni kutoka hisia zangu kwa vitendo. Kwa hiyo siwezi kuacha hilo.
 
Back
Top Bottom