Na nikipiga itakuaje?Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
Sahivi hiyo kura yako ipo kwenye kibegi imekaa standby kudumbukia kwenye box😂😂😂
Ukiona NIDA yako kama imefungiwa hivi ujue ushapiga kura itaafunguliwa baadae...Sahivi hiyo kura yako ipo kwenye kibegi imekaa standby kudumbukia kwenye box😂😂😂
Wapige wasipige CCM MBELEEEEE KWA MBELEEEEE
Mpaka sasa sina huo mpango. Mara ya mwisho kupiga kura ilikuwa 2015.Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
Naenda kumchagua nani?Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?