PreGE2025 Mwaka huu Tanzania inahitaji Rais kama Ibrahim Traore

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
546
Reaction score
1,114
Hatuwezi kuendelea tena kudanganywa na kupumbazwa na watawala waliovimbiwa utajiri wa Nchi hii.

Mwaka huu tunahitaji Rais kama alivyo Ibrahim Traore. Inakuwaje kijana mdogo tu Ibrahim Traore ndani ya muda mfupi amefanya Maendeleo makubwa kabisa katika Nchi yake lakini sisi watu wazima bado tunajikongoja tu?

Bado tunaendelea kudanganyana tu? Inakuwaje katika Nchi yenye rasilimali za kila aina watu wake bado ni maskini kabisa lakini viongozi tu ndo wenye utajiri wa kutupwa?

Binafsi naona ni mara mia zaidi tupate Rais Dictator lakini:-
1. Mzalendo wa kweli wa Nchi hii.

2. Ana maono, nguvu na ujasiri usiotiliwa shaka wa kulinda na kuzitumia rasilimali za Nchi yetu kwa manufaa ya Watanzania.

3. Asiyeweza kumwacha salama FISADI hata kwa dakika chache.

Watu wenye sifa za Ibrahim Traore wapo wengi tu hapa Tanzania isipokuwa hatuwapi nafasi kwa kuhofia ufisadi wetu tutaupeleka wapi.

Mungu atuongoze kubadili mindset zetu na hatimaye tumpe Ibrahim Traore wa Tanzania.
 
Hamridhiki kununuliwa magoli ya mpira! Hili moja milioni kumi vile?
 
Kwenye hii hii nchi ,yenye chama kinacholindwa na Dora?
 
Mchawi wa Tanganyika ni CCM
 
Kweli kabisa, huyu Mama kishakuwa mzigo usiobebeka
 
Back
Top Bottom