The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Mwaka ujao, 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya uhuru toka Waingereza walipoamua kutupatia Uhuru wetu wenyewe.
Mwaka 2021 Tanzania tutasherehekea miaka 60 ya umasikini, ujinga na maradhi, kwa miaka yote hizo Tanzania ikiongozwa na chama cha mapinduzi.
Ni ukweli ulio wazi kua hata ccm wakipewa miaka 300 kuongoza taifa hili hakuna kipya walichonacho kitakachotutoa watanzania katika umasikini na ujinga, hakuna.
Aliwahi kusema Mzee Kingunge, ccm imeishiwa upepo/ pumzi imekata, hawana jipya, hawana sera ya kututoa hapa tulipo na kutupeleka mbele, mbaya zaidi sasa wanaturudisha kule nyuma tulikotoka, kwenye sera mbovu, sera za kimasikini.
Mwaka huu 2020 tutakua na uchaguzi, tuendelee kuwachagua ccm tukijua kua hawana jipya la kutukomboa, hawana fikra mpya badala yake wanaanza kufikiria sera za miaka ya 60 ambazo zimetufukarisha, wao ndio wanazirudia karne hii ya 21.
ccm sasa ni sawa na wale anaowaita Rais Trump, do nothing, ccm sasa ni do nothing, hawana chochote cha kutusaidia tuondokane na umasikini, ujinga na maradhi.
Ccm oyeee.