Mwaka 2021 nitaivunja ndoa yangu rasmi

Mwaka 2021 nitaivunja ndoa yangu rasmi

Nipe kazi ya kupaua baada ya kuvunja hiyo ndoa
 
2020 ulikua unatafuta mke hiyo hiyo 2020 ukaanza malalamiko ya mke wako mvivu ila mwaka huu huu 2020 mke ushamchoka na umeshakua na mahusiano naye kwa miaka mitatu hamuelewani...

So which is which??? Kipi ni kipi yani?
Screenshot_2020-12-22-17-49-23-17_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
Screenshot_2020-12-22-17-48-38-84_73617a28b0d3e7e6a04848a88f233e6b.jpg
 
...embu kwanza,kipi kilikupumbaza tako,ziwa,rangi au shepu tuu
 
2020 ulikua unatafuta mke hiyo hiyo 2020 ukaanza malalamiko ya mke wako mvivu ila mwaka huu huu 2020 mke ushamchoka na umeshakua na mahusiano naye kwa miaka mitatu hamuelewani...

So which is which??? Kipi ni kipi yani?View attachment 1656969View attachment 1656970
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu pole sana kwa wenye ndoa tunajua how it feels! Ila usikimbilie kuvunja ndoa unless mke wako amekusaliti. Nlikua na ndoa mbovu sana miaka 2 ya awali na wife lakini haikuhusisha usaliti, likely nlikua nimefikia hatua kama yako, nliomba Mungu, kwa sasa she is the best wife n friend of mine! Take a breath kidogo mkuu.
 
Hongera bro LITA2019
Wanaume wa kweli husolve matatizo kama wewe, hawakimbii unless iwe ulikutana na mwanamke ambaye hukumjua kabisa na mkaoana ghafla
 
Yeah mana wenzetu hawa dakika mbili anaweza kuwa moodless na kusema au kufanya lolote, ukahisi hakupendi na hakutaki kabisa! Hapo ndipo maturity inahitajika, mana mwanamke si kila asemalo anamaanisha! Mkuu avumilie kama migongano ya kawaida isiyohusisha usaliti na kama mwanamke hadai kuvunja ndoa bali ni kutoelewana tu, with time mambo yanaweza kukaa sawa ila pia amuombe Mungu kwa imani yake mana ndoa ni ibada na huunganishwa na Muumba!
 
Mkuu pole sana kwa wenye ndoa tunajua how it feels! Ila usikimbilie kuvunja ndoa unless mke wako amekusaliti. Nlikua na ndoa mbovu sana miaka 2 ya awali na wife lakini haikuhusisha usaliti, likely nlikua nimefikia hatua kama yako, nliomba Mungu, kwa sasa she is the best wife n friend of mine! Take a breath kidogo mkuu.
Best advice...
 
Back
Top Bottom