mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 20,458
- 36,481
Yeah mana wenzetu hawa dakika mbili anaweza kuwa moodless na kusema au kufanya lolote, ukahisi hakupendi na hakutaki kabisa! Hapo ndipo maturity inahitajika, mana mwanamke si kila asemalo anamaanisha! Mkuu avumilie kama migongano ya kawaida isiyohusisha usaliti na kama mwanamke hadai kuvunja ndoa bali ni kutoelewana tu, with time mambo yanaweza kukaa sawa ila pia amuombe Mungu kwa imani yake.mana ndoa ni ibada na huunganishwa na Muumba
faustincheyo pokea hiyo toka kwa mkubwa hapa
Wanawake akili zetu tunazijua wenyewe
Barikiwa sana LITA2019