Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,469
- 1,697
Hebu muache Siasa za kijinga kwanza ndio twende na JPM au LISSU.
CCM na CHADEMA wote mapopoma
Kujitegemea na kujiamini sisi wenyewe.Mnaenda wapi?
Ulisha wahi kuwa naajira? Kwa nini sasa huna?Niende nae ili niendelee kukosa ajira... Hapa a kabisa
BogusMIMI WA KWANZA TUNAENDA PAMOJA NA JPM atupeleke kwenye nchi ya maziwa na asali
Lissu ndiyo nani?
Sawa brotherUmeona eh! Kutimiza haki yako ya msingi kuna options nyingi.
Nenda kafanye kazi uzembe wewe! Hata haibubhuna?
Wewe ni zaidi ya kilazaWaulize BAVICHA mapopoma ambao ndugu yao ni UVCCM
Kujitegemea na kujiamini sisi wenyewe.
Lissu ndiyo nani?
Acha ujinga wewe Ile ni haki yetu sisi wafanyakazi.Lini hizo Annual increment unazosemea mliwahi kusema zinatosha, ata wakiwapa na kuwapandisha madaraja bado hamtakosa visingizio,
Kikwete aliwapa kila kitu na bado mlimtukana na kumwita dhaifu, kwa sasa tumepata Jiwe, Chuma cha pua.
Go JPM kwa sasa ni muda wa Kujenga nchi mambo mengine yote ni Ziada tu.
Wewe ni zaidi ya kilaza
Ndoto zako zote za kutaka kuwa Raisi wa JMT zitagonga mwamba,Eti unategemea majeraha yako ili kupata Huruma ya watanzania,
Watanzania hatuwezi kuwa na Raisi Mchochezi, Raisi anaetegemea Huruma huruma, Raisi ambae muda wowote na saa yeyote anaweza kutupeleka Utumwani kwa mabeberu,
Ulikuwa unategema Ubunge wako na sasa Kwishney Mahakama imetenda haki kwenye pingamizi la kupinga kuhapishwa kwa mbunge mwenza, Mbunge wa kuwatumikia wananchi na sio mabeberu na bado haki pia itatolewa juu ya pingamizi lako la kuvuliwa Ubunge,
Tundu Lissu kaa utulie kwa sasa ulee Familia yako,
Mwaka 2020 tunaenda na Magufuri(JPM), Jiwe, Chuma steal kabisa.
Kwa Maendeleo ya Nchi Yangu na kizazi changu Nipo pamoja na JPM.
Acha ujinga wewe Ile ni haki yetu sisi wafanyakazi.
Kujitegemea na kujiamini sisi wenyewe.