MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano:
1. Umemfanyia nini mpenzi/mke/mume/nyumba ndogo/serengeti/buzi lako ambacho unawezaita ni achievement?
2. Huyo mwenzio amekufanyia nini either kukufurahisha au kukubore?
3. Ungekuwa na nafasi yaani second chance ungeboresha/change nini katika mahusiano yako ya mwaka huu 2009
4. Umeandaa nini kwa mwaka ujao kama package ya kuifanyia kazi 2010 ili kuboresha mahusiano yako?
Sijui ndo nachizika?! Hata sijui
Nawatakia woooote X-mas njema na funga mwaka njema (Si mnajua tena sie tulikuwaga tunaibia muda wa muajiri kucheza na JF!!)