Mwaka 2009

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano:

1. Umemfanyia nini mpenzi/mke/mume/nyumba ndogo/serengeti/buzi lako ambacho unawezaita ni achievement?

2. Huyo mwenzio amekufanyia nini either kukufurahisha au kukubore?

3. Ungekuwa na nafasi yaani second chance ungeboresha/change nini katika mahusiano yako ya mwaka huu 2009

4. Umeandaa nini kwa mwaka ujao kama package ya kuifanyia kazi 2010 ili kuboresha mahusiano yako?

Sijui ndo nachizika?! Hata sijui

Nawatakia woooote X-mas njema na funga mwaka njema (Si mnajua tena sie tulikuwaga tunaibia muda wa muajiri kucheza na JF!!)
 
wacha nitafakari kwanza nitarudi...hii thredi inakaa kama ingine ya Geoff ilishika wakuu pabaya!!!!
 
wacha nitafakari kwanza nitarudi...hii thredi inakaa kama ingine ya Geoff ilishika wakuu pabaya!!!!
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)
 
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)

hujachizika MJ1 ila hii kama alivosema Shihi inakaa kama ile ya Goeff...ONE HAS TO THINK
 
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano:

1. Umemfanyia nini mpenzi/mke/mume/nyumba ndogo/serengeti/buzi lako ambacho unawezaita ni achievement?

NGONO ZEMBE

2. Huyo mwenzio amekufanyia nini either kukufurahisha au kukubore?

AMENIGOMBANISHA NA NDUGU ZANGU

QUOTE=MwanajamiiOne;695422]
3. Ungekuwa na nafasi yaani second chance ungeboresha/change nini katika mahusiano yako ya mwaka huu 2009 [/QUOTE]

NINGEIFUTILIA MBALI SIKU YA KWANZA KUONANA NAE

QUOTE=MwanajamiiOne;695422]4. Umeandaa nini kwa mwaka ujao kama package ya kuifanyia kazi 2010 ili kuboresha mahusiano yako??[/QUOTE]

KUMPA YESU MAISHA YANGU
 
Mimi ni muumini wa nyumba moja tu...so nitakuwa na amani kama neno nyumba ndogo utaliondoa..na sitawasemea wa BUZI!Kwa ufupi kuna mambo mengi nimeyafanya na kufanyiwa, and its going to take the whole of the remaining part of this year ili kukieleza....Lakini kimsingi, kubwa kuliko yote ni kwamba nimeweza kuwa na amani na familia yangu yote, na Mke wangu amenionyesha maximum love..!. My wish for the coming year ni double of everything!
 
Lol shishi ulivyojibu utafikiri ni paper lazima ulifanye lol anyway Merry Xmas my sisy (hivi we si ni she vile?)

mmmm MJ1 usifanye mchezo...yaani lazima nikae kusummarize hizo points zote LOL...halafu am a fine sista!!! ahahahhaha nigoteee basi!;)
 
kweli swali limekaa kimtego mtego, okay nashukuru limembadilisha kwa namna moja au nyingine na mwenendo wake unaniridhisha/furahisha.....
 
Mwaka 2009 ndo unaishia hebu kaa chini utafakari nini umeachieve katika idara hii ya mahusiano:
wait a min........mjini kutamu aisee....vitoto vimefunga shule basi ishu zinakuwa mpango mzima.....full shangwe kugusa tu.....
 
Back
Top Bottom