Mwaka 1 kabla uchaguzi 2020, wataachia hela, watanzania watasahau ya nyuma, CCM itapeta tena

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Najaribu kuwaza tu watanzania walivyo wepesi na wasahaulifu
 
Kadri muda unavyopita ndivyo watu wanavyozidi kuelimika.Kadri watu wanavyoelimika ndivyo uongo unavyozidi kubainika.
 
Back
Top Bottom