Anawaza kula pilau la msibani, kisha kupewa posha ya elfu 2 na nauli buku.....!poor magambaKuna watu ni wajinga kwelikweli. Mwangalie hata emotionally alivyo tofauti na wenzie.
Shame on you magamba.
Weka PICHA ya huo mmwagiko wa wino wako hapa!nimeshamwaga.